Kwa mbali naiona CHADEMA ikizaliwa upya tena ikiwa na " Wagumu" watupu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
41,773
2,000
Nimepita mkoani Iringa na sasa niko Mbeya, kiukweli Chadema bado wapo tena bado ni " jeuri" zaidi ya vilevile.

Mtazamo wangu hiki chama kinaweza kufufuka au kuzaliwa upya na safari hii kikiwa na wagumu watupu. CCM lazima itumie njia mbadala kukabiliana nao maana mchungaji Msigwa na Sugu bado wanatamalaki na kung'aa kana kwamba bado ni wabunge.

Trump pamoja na kupigwa chini kwenye uchaguzi kuna wananchi bado wanamlilia.

Maendeleo hayana vyama!
 
Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
9,062
2,000
Wale Covid-19 wanapewa posho na vyeo bungeni kama akina nani? Kwann KK haijasikiliza rufaa za Covid- 19 ili wabaki wabunge wa mahakama watakakokimbilia?

Inasemekana ruzuku ya wabunge 20 (Covid-19 na 1 wa kuchaguliwa) inapokelewa na Chadema. Hili ni kweli ama propaganda za Lumumba?

Na kama ndiyo. Hii ndiyo chadema imara unayoiona siku za usoni?
 
chabusalu

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
7,860

Ruzuku ya wabunge 20 maana yake nini? Hao wabunge 20 wamekwambia wana ruzuku?
 
SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
27,128
2,000
Nimepita mkoani Iringa na sasa niko Mbeya, kiukweli Chadema bado wapo tena bado ni " jeuri" zaidi ya vilevile.

Mtazamo wangu hiki chama kinaweza kufufuka au kuzaliwa upya na safari hii kikiwa na wagumu watupu.

CCM lazima itumie njia mbadala kukabiliana nao maana mchungaji Msigwa na Sugu bado wanatamalaki na kung'aa kana kwamba bado ni wabunge.

Trump pamoja na kupigwa chini kwenye uchaguzi kuna wananchi bado wanamlilia.

Maendeleo hayana vyama!
Wapigeni risasi tu, hakuna jinsi nyingine.Mbona kwa Lissu mliweza? Waueni wote ili mufaidi mema ya nchi.
 
Mzee Chayai

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
284
500
Chadema haiwezi kufa, narudia tena chadema haiwezi kufa. ipo sana na itaendelea kuwepo. Hii imesababishwa na Kukosekana kwa wana mikakati wazuri ndani ya system na CCM yenyewe, pengo hilo linaifanya Chadema ipendwe na watanzania walio wengi, wanaccm wenye kuijua vizuri siasa wanaipenda sana chadema kimoyomoyo, chadema inapendwa na wafanyabiashara, inapendwa na wasio na vyama. Chadema ndiyo njia ya mafanikio kwa wana ccm wengi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom