Tuelezee vizuri kwanini ni fallacy .
Objection yako inahusiana na perfection ya democracy, haihusiani na democracy yenyewe.
Yani mwanafunzi kushindwa kufaulu kwa A+ haina maana kwamba hajafaulu. Inawezekana kafaulu lakini kwa B.
Ukishakubali kwamba democracy is a process, which, however imperfect, can always be improved, objection yako inaondoka.
Kwa sababu, katika democracy, kitu muhimu kabisa, si kuwa na perfection, si kuwa na perfect democracy.
Kitu muhimu kabisa, ni kuwa na mfumo, uliokubalika na wengi, unaoweza kuboreshwa zaidi kadiri muda unavyokwenda.
Yani tutaanza na uchaguzi ambao hauko free and fair, lakini angalau tuna uchaguzi hatuna absolute monarchy, na katika uchaguzi huo ambao haupo free wala fair, tutaibiwa sana kura na kupiga kelele lakini kama eventually tunaziba mapengo na kuufanya uchaguzi uwe freer and fairer, busisan kama tumekubaliana, muelekeo wa democracy yetu utakuwa mzuri.
Kwa hiyo, ile direction ya mfumo inakuwa muhimu kuliko perfection ya mfumo.
Ukitaguta oerfevtion utagundua, kama alivyoimba Billy Idol kwenye "White Wedding"
"There is nothin' fair in this world, girl
There is nothin' safe in this world
And there's nothin' sure in this world
And there's nothin' pure in this world
Look for something left in this world
Start again"
Billy Idol - White Wedding.