Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hawa wengine ni waigizaji Kama mnabisha wakati utasema Hata Mange ni afisa muulize kwanini aliingia mitini kabla ya uchaguzi ? Huyu ndiye chanzo Cha watu kuuawa October 2025 . Yule pia wa...
4 Reactions
6 Replies
90 Views
Wanabodi Tukubali tukatae watu hatulingani, kuna watu wana nguvu fulani za unabii kama wa upako fulani, wakilisema jambo, linakuja kutimia!, kauli zao ni ama zina power ya umbaji ndani yake...
20 Reactions
81 Replies
6K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga na Mjumbe wa Baraza Kuu la CHADEMA Taifa, Lembrus Mchome, amesema mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, umeibua mijadala...
1 Reactions
36 Replies
667 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nafikiri hadi sasa wana CHADEMA watakuwa wameanza kufunguka akili na kuelewa mambo yalivyo juu ya unyonyaji mkubwa na ulaghai wanaofanyiwa na viongozi wao aina ya akina...
5 Reactions
41 Replies
315 Views
Hamjambo! Nitaendelea kutoa elimu humu kilazima lazima. Najua vipo vichwa vyenye moshi havipendagi. Nyuma ya pazia la utawala niliwahi kugusia mada hiyo kwa uchache. Nikijaribu kuwaambia wale...
6 Reactions
23 Replies
321 Views
Hellow wana JF. "Siumwi, sina kichomi wanao niombea mabaya watatangulia wao mie nitashiriki mazishi yao". JK.
22 Reactions
115 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Bernadetha Kafuko, amesema Tanzania inahitaji kuwa na mifumo madhubuti ya mazungumzo na kuheshimu tofauti za kimtazamo, kisiasa na kimfumo...
0 Reactions
1 Replies
73 Views
Kesi ya Uhaini ya Lissu inaendelea huku John Heche akitarajiwa kuendelea kutoa ushahidi Mahakamani Sept. 11. 2026 ambapo jana Septemba 10 Mahakama Kuu ilikataa ombi la mshtakiwa Tundu Lissu la...
18 Reactions
254 Replies
7K Views
1. Elimu Elimisha kizazi kimoja kwa zaidi ya miaka 10, uone jamii hiyo itakavyoathirika. Elimu hiyo iathiri tabia zao, dini, utamaduni na vyombo vya habari hadi kugeuza uelekeo wao na mtindo wa...
0 Reactions
0 Replies
56 Views
  • Redirect
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga na Mjumbe wa Baraza Kuu la CHADEMA Taifa, Lembrus Mchome, amesema mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, umeibua mijadala...
0 Reactions
– Replies
– Views
  • Featured
Akizungumza katika mahojiano na M & S Podcast yaliyorushwa Septemba 9, 2026, Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa Chama cha ACT-Wazalendo, Janeth Rithe, ameeleza kuwa mazingira ya sasa ya kisiasa...
18 Reactions
28 Replies
1K Views
Siku ya Demokrasia Duniani huadhimishwa tarehe 15 Septemba kila mwaka. Siku hii ilitengwa rasmi na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN) mwaka 2007 kwa lengo la kuhamasisha na kulinda misingi ya...
1 Reactions
3 Replies
88 Views
Hamjambo! Sisi tunatazama. Tunafuatilia kila kitu kwa ukaribu sana. Tunahakikisha hatutapitwa na chochote. Ingawaje kuna baadhi ya episodes hatuzielewi na kuzifanyia tathmini inachukua muda...
11 Reactions
33 Replies
564 Views
Ikiwa Malasusa anapenda Madaraka huko Jkkkkkt basi inafaa aje jimboni Busokelo tumfunze siasa za kumwaga pesa na kubadili katiba juu kwa juu
0 Reactions
2 Replies
93 Views
Naomba kujua huyu Salman Nileshi anaehusishwa kwenye sakata la John Heche n nani hasa na kwann anamsaidia Heche
2 Reactions
16 Replies
383 Views
Katika ujenzi wa madarasa, nimemuelekeza Waziri wa Tamisheni kuanzia sasa wafanye tathmini: maeneo yote ambayo yana majengo yanayofaa kufunikwa kwa kumalizia majengo ambayo yamejengwa kwa nguvu za...
0 Reactions
2 Replies
58 Views
  • Redirect
Kwa sasa wanachama wa Chadema wanawasikiliza zaidi Mange Kimambi na Sativa zaidi ya wanavyosikiliza viongozi wao. Chama kuendeshwa na wanaharakati ni hatari sana , na imefikia hapo kwa sababu hao...
1 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
DKT. MWIGULU: MFUMO MPYA WA UNUNUZI PAMBA UJULIKANE NDANI YA MWEZI MMOJA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amemuagiza Waziri wa Kilimo kukutana na wadau wa zao la pamba na ndani ya mwezi mmoja...
0 Reactions
– Replies
– Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amemuagiza Waziri wa Kilimo kukutana na wadau wa zao la pamba na ndani ya mwezi mmoja kuwasilisha mapendekezo ya mfumo bora wa ununuzi wa pamba utakaowanufaisha...
0 Reactions
2 Replies
158 Views
Back
Top Bottom