Hivyo ndivyo ninavyoweza kuhusu Banana Republic ya Bongo, ambayo imejaa baadhi ya watu wabinafsi na wenye kujipendekeza mpaka wanatia kinyaa na kuwa tayari kutetea kila jambo linalofanywa na huyo...
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dodoma, William Kusila amesema kuwa Tanzania inaelekea kuzimu na kwamba hakuna namna tena ya kukifanya chama hicho kikawa na heshima...
Rais mstaafu wa awamu ya 4, Mh. Mrisho Jakaya Kikwete amesema kwa sasa anaandika kitabu cha historia ya maisha yake ambacho kitaelezea mambo aliyoshiriki, aliyoyashuhudia na aliyoyaona katika...
Wapo watu wamejitwalia mamlaka za kuwafanya walio chini yao kama wanyama. Mtu anapigwa na dola Hadharani then dola inasema alikua mgonjwa na anayetamka hayo yupo mbele ya TV na hakuna anakemea...
Mzazi mmoja mkazi wa kijiji cha Ilanga, kata ya Mlale, iliyopo wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe, amegoma kumpeleka mwanaye kujiunga na kidato cha kwanza akidai kuwa mwanaye hana akili na kwamba...
RAIS Dk. John Magufuli amewatolea uvivu wananchi wanaotembea na mabango yakielezea mishahara midogo wanayolipwa katika maeneo yao ya kazi, kwa kuwataka waache kazi, waende kulima kama wanaona...
Roho yakimasikini ni nini?
Roho yakimasikini niroho ambayo haipendi hau haifurahi pindi mtu akifanikiwa au akiwa na kitu yeye hana. Roho ya umasikini umuhaminisha mtu kuwa bila yeye hakuna...
Mimi kama mtanzania nisiemfuasi wa chama chochote sipendi ushabiki wa kishamba hasa juu ya suala ambalo linagusa maslahi ya kila mtanzania bila kubagua itikadi zake.
Hapa nchini kwetu kumetokea...
Twende pamoja nami kwenye uzi huu.
Kutoka katika Ilani ya CCM, Sura ya 10, Ibara ya 251,(e), Uk.299. Hatua nyingine muhimu kwa Chama katika kusimamia utekelezaji wa Ilani ni kuhakikisha kuwa...
Ilani ya CCM, Sura ya 10, Ibara ya 251,(e), Uk.299. Hatua nyingine muhimu kwa Chama katika kusimamia utekelezaji wa Ilani ni kuhakikisha kuwa, Chama kinatenga siku maalum kila wiki ili kusikiliza...
Kila mtu anajua kuwa mishahara ya watumishi wa umma ni midogo sana na kiuhalisia haikizi mahitaji ya kila siku.
Watanzania wengi wapo kwenye utumishi wa umma sababu tu ni ajira ya kudumu na ukiwa...
Wana jf,
Naungana na rais Wangu Dr. j.Magufuri kugomea chanjo, ikiwa tuna wataalum wakali kutoka NIMR wameonyesha uwezo Wa kukabili kirusi hiki hatari duniani. Yapo magonjwa Mengi ambayo...
Nchi sasa hivi inajiendesha Kama haina Rais. Wafanyakazi sekta zote wengine wanastaafu na wengine wanakufa kila siku lakini jamaa hataki kabisa Wala kusikia kuhusu ajira. Yuko radhi wote mfe...
HOJA TATU CHANZO CHA KUKAMATWA/KUTEKWA BOLLEN NGETTI.
Bollen Ngetti, Mwanaharakati na Mwandishi wa habari za kiuchunguzi, aliyetekwa tarehe 23/12/2019 siku ya Jumatatu na watu wasiojulikana...
Salaam Wakuu,
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara Tundu Lissu anatarajiwa kuwasili nchini leo saa saba na dakika ishirini saa za afrika Mashariki...
TAIFA LINAVUJA DAMU!
Na Bollen Ngetti
NAWASALIMU marafiki zangu wote kwa matumaini kuwa hamjambo. Ukimya wangu unawaumiza wengi wenu na kuwafurahisha wachache wenu. Ninapitia kipindi...
Salaam Wakuu,
TAKUKURU yautambua mchango mkubwa wa JamiiForums pamoja vyombo vya habari Nchini katika kuendeleza mapambano dhidi ya rushwa nchini. Tukio hilo limefanyika leo 28 Januari Jijini Dar...
Waziri wa Tamisemi mh Selemani Jaffo amewasihi viongozi wenzake kuacha tabia ya kuinua mabega kujitutumua, jeuri na kiburi kwani kila nafsi itaonja umauti.
Waziri Jaffo amesema hayo wakati wa...