Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amewaagiza Watanzania kutumia mvua zinazonyesha kipindi hiki kulima mazao ya chakula na biashara ili kuepukana na janga la njaa, na...
Mmegeuka kama watoto wadogo kwenye game la siasa za Bongo. Kila kukicha mnaleta stori za ajabu kuwa uchaguzi uliopita mlibagazwa sababu kulikuwa na faulo. Lakini hamtaki kuweka ukweli kuwa CHADEMA...
Viongozi wetu najua mna nia njema kabisa ya kutaka kukuza lugha yetu ya taifa, Kiswahili.
Pamoja na kuwa na nia njema ya kukuza lugha ya Kiswahili tuwe wakweli kuwa majaji na mahakimu kutumia...
Wanabodi, tahadhima kwenu.
Nianze kwa kuwauliza, hivi ni kwa nini viongozi waandamizi wa CCM wastaafu na walioko madarakani hawathubutu kumkosoa Rais Magufuli Mwenyekiti wao? Hivi ni kweli...
Ben aliacha kiinua mgongo cha Mbunge kikiwa 35M. JK awamu ya kwanza akakitoa 35M to 90M na awamu ya pili akapandisha kutoka 90M hadi 240M. Bila shaka hapo ndipo ubunge ulipoacha kuwa utumishi...
Jana tarehe 1 Februari ilikuwa ni siku ya kuadhimisha miaka 100 ya Mahakama Tanzania. Rais Magufuli aliongea mengi sana lakini hakugusia kuhusu mwingiliano wa Mihimili hii 3: Bunge,Mahakama na...
Mabibi na mabwana si siri kuwa tunakabiliwa na janga. Kwa hakika inahitajika njia katika hali ya dharura kabisa. Palipo na nia ipo njia.
Tunaposaka njia wapo hawa wasiokuwa na nia njema...
Jaji wa Mahakama Kuu wa Kanda ya Musoma, Zephrine Galeba alietuliwa kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Rufaa kutokana na kuandika Kiswahili katika moja ya hukumu alizowahi kuzitoa.
Leo Rais Magufuli...
Mamlaka ya usafiri ardhini LATRA imekanusha kuanzisha tozo kwa magari madogo ya kubeba maiti.
Mkurugenzi wa usafirishaji Kahatano amesema Serikali haijawahi kufikiria kuanzisha tozo ya namna hiyo...
"Nimewasikia wananchi wangu na tumefanya mabadiliko ya rangi ya gari hili (Ambulance) kwa maslahi mapana ya Wana Rorya wote bila ya kujali vyama vyao.
Poleni sana kwa wale waliovurugwa na rangi...
Kwanza sielewi kiitifaki imekaaje pale mteule wa Rais anapoamua kujibu kwa niaba ya Rais pasipo kuagizwa tena Rais mwenyewe akiwepo mahali hapo.
Pili, Prof Lipumba alitoa ombi/ kumbusho na siyo...
Ofisi Ya msajili wa vyama vya siasa imethibitisha kupokea barua ya wabunge waliovuliwa uanachama CHADEMA wakidaiwa kukiuka magizo ya mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe ya kuwataka...
Wanabodi,
Wote tunajua kuwa serikali imekuwa ikitafuta grounds mbalimbali za kuzuia kwanini bunge lisirushwe live.Hapo awali ilielezwa na waziri wa habari kuwa sababu kuu ni kubana matumizi ya...
Kutoka kwenye ukuta wa Bollen Ngetti Face Book nami nawasukumia bila kuongeza neno.
Kuna mambo mengine ukikutana nayo yanachefua na kutia kinyaa. Yani utadhani viongozi woooote wa Mkoa wa Dar es...
Sio sahihi raia kutilia Shaka taarifa za Serikali. Tukumbuke ina dhamana kubwa kuliko sisi wote mmoja mmoja.
Serikali inafanya Mambo kwa mujibu wa sheria na matakwa ya kikatiba kwa maslahi mapana...
Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Hamis Juma, amesema Mikataba ya Mikopo ya Benki ipo katika Kiingereza kigumu sana, na kesi nyingi zinazokuja Mahakamani kuhusu watu kushindwa kulipa madeni ni...
Wakuu,
Mikoa ifuatayo haikugawanywa kwa kuzingatia Jiografia rafiki kwa uendeshaji wenye ufanisi na tija.
1. Arusha kupata mkoa wa Manyara: ingefaa usianzishwe mkoa wa Manyara badala yake wilaya...
Hoja yangu nimeiweka kwenye namna ya swali ili tuweze kupata majibu sahihi, na tuangalie vyema hali yetu ya kiusalama kiuchumi, kijamii na kisiasa pia.
Vita ya kiuchumi imepamba sana Moto, maadui...
Leo Rais wetu wa JMT amehudhuria sherehe za kuadhimisha miaka 100 ya mahakama kuu hapa nchini. Kauli mbiu ya kudhimisha miaka 100 ni kujenga nchi inayozingatia haki, udugu na amani katika kuleta...
Nakumbuka ile Corona ya awamu ya kwanza ni mbunge Mtulia ndiye aliyetupa uhakika kuwa ipo na tukaambiwa ametoka nayo jimboni kwake Kinondoni.
Ukifanya sampling bunge ndio chombo pekee kinachobeba...