Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 16,466
- 42,602
Sio sahihi raia kutilia Shaka taarifa za Serikali. Tukumbuke ina dhamana kubwa kuliko sisi wote mmoja mmoja.
Serikali inafanya Mambo kwa mujibu wa sheria na matakwa ya kikatiba kwa maslahi mapana ya nchi na taifa kwa ujumla.
Kuteleza kumo kwani Serikali haziongozwi na malaika.
Niwajibu wetu kuamini taarifa za Serikali.