Esther Bulaya: Mimi ndiye kipenzi cha Wana Bunda

Esther Bulaya: Mimi ndiye kipenzi cha Wana Bunda

denooJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
18,487
Reaction score
68,287
Ametoa kauli hiyo leo akiwa bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia mjadala wa Wizara ya Maji. Amesema yeye akiwa kama ndie mbunge "senior" na anayekubalika zaidi na wana Bunda anataka kujua ni lini serikali itamalizia kupeleka maji kutoka Ziwa Victoria katika kata kumi na nne (14) ambazo zimebaki.

Akionesha kushangazwa na kauli hiyo, Mh. Naibu Spika, Tulia Ackson akamuuliza Mh. Bulaya yeye ndie kweli kipenzi cha wana Bunda au Mbunge wa sasa wa jimbo hilo?

My Take:

Naona jamaa wanaitumia vyema nafasi yao kuwepo bungeni kwa kujitafutia uhalali waendelee kuwarubuni wananchi wa majimbo yao, kwangu huu ni sawa na utapeli.
 
Mh.Bulaya kafanya vema kutumia fursa kuwatetea Watanzania wa Bunda.Natumai ataomba media kipande cha hutuba yake awatumie wadau.
 
Na kitendo hiki kimemshushia sana hadhi Mheshimiwa Rahisi. Haiwezekani yeye apewe nafasi 10 pekee lakini Spika anajitwalia nafasi 19 utadhani yeye ni zaidi ya Rahisi.
Katiba ndivyo inavyoelekeza.na iko hivyo.
 
Nimekumbuka ghafla lile tusi,kipindi cha kampeni, sijui taga gani alimwita 'malaya'..?

No offense, anautumia vema umalaya wake!
 
Back
Top Bottom