Unyanyasaji wa Wafanyakazi umerudi tena Muhimbili. Mfanyakazi ukiongea kitu ambacho kinaonekana ‘kutishia’ cheo cha boss unaondolewa kwa sababu za kutunga.
Waziri tunajua una taarifa nyingi...
Maalim Seif alikuwa ndio nguzo ya CUF na alipohama CUF nayo ikawa imekufa " kimsingi " Maalimu Seif akawa nguzo ya ACT Wazalendo ambayo wabunge wake wote ni wafuasi binafsi wa Seif. Kufariki kwa...
Mitandao yote na kila kona watu wanalia au tunalia kifo cha Jaji Regina Reyemamu.
Hutokea kwa nadra sana jaji akifariki halafu umma wote usikitike kw sauti moja kama inavyotokea leo kwa Jaji...
Tanzania ni nchi inayofuata mfumo wa uendeshshaji utawala wa mihimili mitatu, Bunge, Mahakama na Serikali. Wakuu wa mihimili hii kwa nyakati tofauti bila kuzingatia upatikanaji wao, wote katika...
Unapata taarifa kuwa Waziri mwenye dhamana na afya za watanzania ataongea na waandishi wa habari mbele ya luninga. Kinachofuata unashuhudia Waziri na naibu wake wakijifukiza na kisha kushushia na...
Wote ni wageni wa hospitali isipokuwa tunatofautiana muda wakufika hospitali na sababu itakayotupeleka huko.
Tunavyojadili miradi naamini mradi mkuwa kwa sasa ni mradi wa kuponya afya za watu...
Kutoka Zanzibar, maandalizi yameshakamilika kwa ajili ya kumuapisha Makamu wa kwanza wa Rais, Maalim Seif Shariff Hamad kutoka chama cha ACT-Wazalendo. Kuwa nami kukujuza yatakayojiri kutoka...
TAARIFA KWA UMMA
NI MSIBA MZITO SANA! BURIANI MAALIM SEIF
The Civic United Front CUF- Chama Cha Wananchi kimepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa sana Taarifa ya Kifo Cha Makamu wa Kwanza wa...
Kuna nchi moja (jina kapuni), viongozi wake wanaonekana kutokuwa serious kiasi cha kutosha katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Corona kama ilivyo katika mataifa mengine duniani zikiwemo hata...
Kumekuwa na shinikizo kutoka kwa baadhi ya watu hasa wanasiasa kutaka Rais Magufuli na serikali yake wafunge mipaka ya nchi na kutoa tamko la kuwataka/kuwalazimisha wananchi wabakie majumbani mwao...
Korona 2.0 Kwani Rais ana Ubia na Maisha Yenu?
Na. M. M. Mwanakijiji
Naandika kama shabiki wa Magufuli; naandika kama mtu ambaye nimeelewa malengo yake na mitazamo yake, na ninaandika kama mtu...
Mkuu wa Mkoa Dar Paul Makonda amesema Mbowe ameahirisha mikutano ya kisiasa iliyopangwa kufanywa kuanzia mwezi wa nne baada ya mtoto wake kuumwa Corona.
Makonda amesema huenda mtoto wa Mbowe...
KUJIKINGA NA #CORONAVIRUS: SHULE ZAFUNGWA KWA SIKU 30
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema shule zote kuanzia za Awali hadi Kidato cha 6 zimefungwa kwa siku 30 kuanzia leo Machi 17...
Huyu Meya alifikiri ni sifa kuwaamrisha watu waliohudhuria mkutano wa baraza la madiwani wa manispaa hiyo kwa mawazo yake ya kijinga kuwa ilikua makosa kuvaa Barakoa wazive na kama hawavui...
Wagonjwa wa Corona wafika 3 sasa Tanzania baada ya wawili zaidi kupatikana leo na mmoja kutoka Zanzibar.
Waziri mkuu Majaliwa athibitisha kwa kusema “Tuna ongezeko la wagonjwa wawili ambao...
Hii ndio Tweet yao:
"This is important information for British Nationals travelling from Tanzania to the UK. As Tanzania is a red list country, you must book hotel quarantine before you travel."...
Uzalendo kwanza.
Ni wakati sasa wa mamlaka za serikali hasa wizara ya ardhi na Serikali za mitaa kuanza rasmi kuitumia sheria ya kodi ya jengo yaani property tax na sheria ya ardhi kudhibiti...
Saalam!
Kilichotokea Morogoro siku mbili zilizopita zimenipa uelewa Mpana juu ya kiumbe aitwae mtanzania.
Wakati anaingia bungeni kwa Mara ya Kwanza Abood, alijipangia yeye binafsi kutoa huduma...
Bila kumung'unya maneno naanza moja kwa moja kuwaasa wananchi wa Tanzania kulinda afya zenu wenyewe , hii ni kwa sababu usalama wa maisha yako ni HAKI YA KIKATIBA , mtu mdogo kama Meya wa Manispaa...