Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

JINA: John Cliford Malima Taarifa zilizosambaa/Madai: Alitekwa siku ya Jumapili baada ya kupigiwa simu. Watekaji walimfuata kwa gari Pugu kituo cha daladala Kazi yake: Mwinjilist Kanisa la...
5 Reactions
13 Replies
552 Views
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Mbali na miundombinu, huduma za kijamii, muingiliano wa watu, kuna sifa zingine zinazotambulisha eneo Fulani ni Mji au Jiji. Duniani kote tangu Enzi na Enzi...
1 Reactions
6 Replies
276 Views
Ukiwa jaji umeula hadi kifo. Yafuatayo NI maslahi ya Majaji wa Mahakama Kuu na Rufaa nchini. 1. Kulipiwa nyumba Grade A, 2. Usafiri (4WD/dereva/mlinzi), 3. Kusafiri daraja la biashara/Kwanza...
8 Reactions
58 Replies
5K Views
Nahisi kama tangu tumepata uhuru huyu atakuwa Jaji mkuu ambae yupo linked na siasa. Analialia kuwa yeye na mahakimu wake wana hali mbaya kimaslahi hivyo anaomba waongezewe posho. Hapa mahakama...
3 Reactions
4 Replies
266 Views
Askofu wa Jimbo Katoliki la Kayanga mkoani Kagera, Mhashamu Almachius Vincent Rweyongeza, amesema kuna watu na makundi katika jamii ya leo yanayotumia nguvu, risasi na mabomu ya machozi kwa sababu...
22 Reactions
66 Replies
1K Views
Macho yanaongea .. Sura inasema.. The guilty are afraid...! Yaliyomo moyoni mwa mtu akishindwa kuyadhibiti hujitambulisha kwa uwazi kwenye macho na taswira kupitia sura yake! Furaha Huzuni...
31 Reactions
62 Replies
2K Views
Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa. Makala ya leo ni pongezi kwa Jaji Stella Mugasha wa Mahakama ya Rufani Tanzania, kusimama kidete...
4 Reactions
15 Replies
4K Views
Nina wasi wasi waliotekwa wapo magerezani na ndo ao aliowataja Samia Leo yakuwa wapo magerezani kwa uonevu Lakini hivi kweli kelele tulizo dhidi ya waliotekwa RAIS Samia hatuwlewi kweli? Hiki ni...
0 Reactions
3 Replies
234 Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda ametaka watendaji wa Wizara hiyo kufunga mkanda ili kutimiza malengo waliyojiwekea wakiwa chini ya Profesa Palamamba Kabudi. Makonda...
0 Reactions
1 Replies
233 Views
SWALI KWA KIKWETE: KAMA AMANI YA KUDUMU SIO TUNDA LA HAKI WATANZANIA TUNATOKAJE OKTOBA 2025 NA KUFIKA KWENYE UFALME WA HAKI NA AMANI TUNAKOPASWA KWENDA? Mpendwa Jakaya Kikwete, Rais wa Nne wa...
12 Reactions
23 Replies
900 Views
Hii ni picha ya kaburi la ayatollah Ruhollah Khomeini lillilogharimu takriban dola bilioni mbili. Halafu wanakwambia kuwa hakuna shirk wala kuabudia sana au kufanya israfu au matumizi mabaya. Hii...
4 Reactions
12 Replies
508 Views
duh! D.Trump kawaambia wairani wasife moyo waendelee kupambana na msaada uko njiani, na kwamba ''save the names of the killers and abusers'' ...
0 Reactions
32 Replies
430 Views
Lucy Antony Michael (35), Mkazi wa Yombo Dovya, Mtaa wa Makangarawe, Wilayani Temeke, Dar es Salaam amevamiwa na watu wasiojulikana akiwa anatoka nyumbani kwake, ambapo watu hao walimpiga na...
25 Reactions
148 Replies
3K Views
Kwa yanayoendelea kuanzia Tume ya uchaguzi, Uchaguzi wenyewe, Jeshi La Polisi Mahakama mpaka Magereza? Mimi naamini kwetu haki ilishakufa ikamezwa na CCM maana wao wakija kutenda haki wanajua...
2 Reactions
3 Replies
144 Views
Kutoka X: Nili download iyo interview , Nikaangalia na kuskiliza kwa makini 1. Kwanza kawakataa wanaharakati 2. Zile effort zote za free him kapuuza 3. Ana change mwelekeo wa content zake...
8 Reactions
42 Replies
1K Views
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara, Amani Golugwa, amemtaka Dkt. Mwigulu Nchemba kuacha kupotosha umma kuhusu madai ya msingi ya wananchi juu ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Amesema madai...
2 Reactions
2 Replies
234 Views
Mwaka 1960, ANC ilipigwa marufuku kufanya siasa nchini Afrika Kusini, viongozi wake kama Walter Sisulu na Nelson Mandela walikamatwa wengine wakakimbia nchi, Oliver Tambo akachukua jukumu la...
1 Reactions
5 Replies
232 Views
Mama wa mtoto aliyepigwa risasi Oktoba 29, 2025 atuma ‘salamu’ kwa Rais
5 Reactions
11 Replies
711 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…