Mhe Rais wewe ni mtanzania hauna Taifa kingine pia wewe ni mwanadamu jaribu kufikiria Magumu wanayopitia Chadema. Alafu fikiria ingekuwa ni wewe maana kuwa mpinzani siyo ( sin).
Let Chadema be...
Pamoja na mauzauza yote yanayofanywa na Yoweri Museveni kwenye uchaguzi unaoendelea huko Uganda, angalau kuna mambo anayafanya kiungwana.
Nimefuatalia vituo kadhaa vya kupigia na kuhesabu kura...
Familia ya wanamtandao wamejazana JF kuanzisha mijadala inayohanikiza kuwa tuna serikali.
Tanzania leo inaongozwa na kundi la wahaini waliobaka Katiba, walioharibu mifumo ya demokrasia na...
Waumini wa kanisa katoliki wameeleza kusikitishwa na kauli zilizotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, wakionyesha kushangazwa namna...
Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano, Brenda Rupia ametoa taarifa hii iliyotolewa na
Gaston Galubindi, Mkurungenzi wa Sheria CHADEMA Taifa, kuhusu Kesi ya Uhaini ya Mwenyekiti wa Chama cha...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 15, 2026 amezungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu, ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma.
Tukubali tumeziwa tujifunze kutoka Kenya. Badala ya kuweka ushindani usio na sababu na majirani zetu na ndugu zetu wa Kenya kama taifa tungenufaika kwa kujifunza mazuri na kuacha mabaya badala ya...
Katika miaka ya karibuni, kuzimwa kwa intaneti wakati wa uchaguzi kumegeuka kuwa jambo la kawaida katika baadhi ya nchi za Afrika. Mataifa kama Tanzania na Uganda yameshuhudia kufungwa kwa...
Raisi Magufuli tatizo lake mmoja hakuwa rafiki mzuri kwa wale watu ambao wamemjua kabla hata ya siasa.
mifano miwili
1. Kuna mtu ambaye yeye ndiye alimshauri Magufuli agombee kwa CCM, yeye ndiye...
Nukuu hii aliwahi kuitoa Hayati Nelson Mandela alipokuwa akiwapa moyo wapigania uhuru na wapinga ubaguzi wa Afrika Kusini kwa yote yaliyowapata kutoka kwa Makaburu.
Naomba niazime nukuu hii na...
Tanzania imekuwa na ujinga mmoja ambapo rasilimali za nchi zimekuwa zinatumika kumlinda, kumtetea na hata kufungulia mashtaka watu kwa kesi binafsi za kiongozi.
Unaweza kukuta mtu anachapisha...
Huyu Mama ambiwe ukweli na watu wake wa karibu, jamii imemtenga haimtaki kabisa,kila anachokifanya yeye au washirika wake kinabuma.
Na kila anayemtete mbele ya jamii anaonekana ni adui na...
Katika kesi inayoendelea Zanzibar ya kupinga matokeo ya ubunge Zanzibar iliyofunguliwa na chama cha ACT mwanasheria mkuu wa serikali ameweka pingamizi akidai mahakama ilipofunguliwa kesi haina...
VIDEO: Wananchi wa Venezuela wakishangilia anguko la Maduro na genge lake madarakani
Great Thinkers, nawakaribisha tuchambue tukio la kukamatwa rais Nicholaus Mafuro wa Venezuela
Marekani...
Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu umeiomba Serikali kumchukulia hatua za kisheria Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, wakidai kuwa kauli zake za hivi...
Ngoja niwaambieni ukwel hawa Abdul na samia na kikwete kwamba lazima watakwenda jela kwa matendo yao ya mauwaji hawa tupo nao sana kama pete na kidole.
NImeamua kumteua Baba Askofu Bagonza Kuwa mshauri wa Rais kitengo Cha KATAA MACHAWA na wanafiki katika TAIFA la Tanzania. Je wadau mnasemaje? Staki mnishawishi nimteue na shekhe mkuu awe mwosha...
Kusema umeliponya taifa kwa kuwaomba Mabalozi msamaha ni kejeli kwetu,
Kusema unalijenga taifa kwa kuanzisha wizara ya vijana ni drama za mchana kweupe maana tuliisha kuwa nayo ikaishia kuwasaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.