Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

1. Kuiba uchaguzi hawajali kuchaguliwa 2. Misaada ya mabilioni kuyeyuka hawajali ilimradi tu ni CCM 3. Visa list ya kuzuiawa huko USA hata kwa wafanyabiashara hawajali maana Mama ni Raisi wa...
5 Reactions
9 Replies
142 Views
Kichwa Cha habari kinajieleza hapo juu jamani ukweli acha usemwe tu barabara ya Rujewa - Igawa ni mbovu mbovu sana mashimo kila shemu Jamani tunaumiza vyombo vyetu da hii barabara ni KERO jamani...
0 Reactions
4 Replies
629 Views
  • Redirect
JAMES Mbowe, aliyekuwa mgombea ubunge katika jimbo la Hai kwa tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), achutama, ajutia uamuzi wake wa kukihama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kwa mujibu wa Tamko la Rais Na. 10998, kuanzia tarehe 1 Januari 2026, Marekani imesitisha utoaji wa Viza za kutembelea zisizo za uhamiaji zilizo katika Makundi B-1/B-2, Viza za wanafunzi na...
0 Reactions
Replies
Views
Patrick Kipangula- Kaimu Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Ithibati ya waandishi wa habari Tanzania (JAB) anasema vyombo vya habari vya nje havikufuata utaratibu wakati wa kuripoti matukio ya Oktoba 29 nchini.
0 Reactions
1 Replies
150 Views
  • Redirect
Majibu ya Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari Tanzania (JAB), Patrick Kipangula kuhusu Vyombo vya Habari kurusha matukio ya Oktoba 29, 2025.
0 Reactions
Replies
Views
Patrick Kipangula- Kaimu Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Ithibati ya waandishi wa habari Tanzania (JAB) anasema ithibati za waandishi hazikulenga wakosoaji bali wale ambao hawakuwa na vigezo pekee.
0 Reactions
0 Replies
157 Views
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ametoa agizo la Mama aliyeporwa eneo lake la ardhi kurejeshewa ndani ya siku saba, ameeleza mama huyo alinunua eneo hilo 2009 na alipofikisha suala hilo la kuporwa...
1 Reactions
7 Replies
230 Views
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza katika mkutano na madereva pikipiki, bajaji na machinga wote leo Januari 8, 2026 katika ukumbi wa Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam...
0 Reactions
4 Replies
182 Views
  • Redirect
Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba amesema Tanzania imebahatika kupata Rais mwenye kuwahurumia watanzania ambaye hataki Kuendesha Nchi kwa fedha ya dhuluma.
0 Reactions
Replies
Views
Hayo yamesemwa na bodaboda katika kongamano la mwaka la Wamachinga, madereva pikipiki na bajaji za kubeba abiria ambapo Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ni Mgeni Rasmi. Mkutano huo umefanyika katika...
1 Reactions
6 Replies
206 Views
𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗡𝗔𝗭𝗨𝗡𝗚𝗨𝗠𝗭𝗔 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗖𝗛𝗜𝗡𝗚𝗔, 𝗠𝗔𝗗𝗘𝗥𝗘𝗩𝗔 𝗣𝗜𝗞𝗜𝗣𝗜𝗞𝗜 𝗡𝗔 𝗕𝗔𝗝𝗔𝗝𝗜 WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo 08 Januari 2026, anazungumza na Wamachinga pamoja na madereva wa pikipiki na bajaji za...
0 Reactions
4 Replies
194 Views
Mfanyabiashara na mdau maarufu wa maendeleo nchini, Azim Dewji, amewatahadharisha Watanzania kuwa makini na viashiria vya vurugu ambavyo vinaweza kutoa mwanya kwa mataifa ya nje kuvamia na kupora...
5 Reactions
56 Replies
1K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekanusha madai ya Padri wa Kanisa Katoliki Dk Charles Kitima kuhusishwa na siasa za chama hicho kikieleza kwamba si mwanachama wa chama hicho na wala...
4 Reactions
20 Replies
532 Views
Nchi hii haina viongozi wenye vision waliopo wanaongoza kwa kutengeneza matukio ili kujaribu kuwasahaulisha wananchi yaliyotokea MO29. Tusubiri leo Mwigulu atakuja na igizo gani, amesahau wahanga...
2 Reactions
3 Replies
209 Views
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayesimamia Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema kuwa hapa nchini Tanzania hakuna mwenye amani; si waliochaguliwa, si...
4 Reactions
9 Replies
380 Views
"Kuna kitu kimetengenezwa katika nchi hii na watawala ile sera yao susi inaitwa wagawanye watawale ndiyo ambao wanatumia hao watawala ambao wanauroho wa madaraka ninaomba watanzania hiyo sera...
0 Reactions
1 Replies
155 Views
Wadau mbalimbali wakichangia maoni yao katika kongamano kubwa la waamachinga na bodaboda nchi nzima linalofanyika jijini Dar es salaam likiongozwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania...
0 Reactions
3 Replies
127 Views
Back
Top Bottom