𝗞𝗢𝗡𝗚𝗔𝗠𝗔𝗡𝗢 𝗟𝗔 𝗪𝗔𝗠𝗔𝗖𝗛𝗜𝗡𝗚𝗔, 𝗠𝗔𝗗𝗘𝗥𝗘𝗩𝗔 𝗣𝗜𝗞𝗜𝗣𝗜𝗞𝗜 𝗡𝗔 𝗕𝗔𝗝𝗔𝗝𝗜 𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗕𝗘𝗕𝗔 𝗔𝗕𝗜𝗥𝗜𝗔
Mgeni rasmi: Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
📆 Alhamisi - Januari 08, 2026.
🕰️...
Viongozi wa chama cha ACT Wazalendo wanaendelea na ziara zao katika Mikoa ya Kusini ambapo jana Januari 7, 2026 Kiongozi wa Chama, Dorothy Semu, aliwasili katika Jimbo la Mtwara Mjini na kufanya...
Siku moja baada ya raia wa Kichina kukamatwa na mabilioni ya fedha huko Oysterbay, jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert ametoa wito kwa wananchi kujenga desturi ya kawaida ya...
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayesimamia Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, Tuna taifa linaloumwa lakini halijui kama linaumwa .
"Ni vema tukafanya haraka...
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayesimamia Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema kuwa wahusika walijua mapema kuwa watatenda makosa, kwa lengo la baadaye...
1. Yaliyotokea Tanzania ni kwa sababu Samia anadhani watanzania ni objects zake, sisi kwake ni kama kuku, ng'ombe , mbuzi , nyumba, sahani, kikombe, kikiko, çhekecheo and she can treat them at...
Wakuu,
Naomba kufahamu kuhusu suala la utajiri wa Kanisa Katoliki. Je, kweli utajiri wake unatokana na mgao kutoka serikalini?
Baadhi ya Mashekhe wamekuwa wakidai kuwa Kanisa Katoliki hupokea...
Yaani katika kitu nimewakubali gen z ya Tanzania ni kutokuandamana sababu kuna mizee ambayo ujanani kwao ilichezea pesa Sasa hivi maisha Yao magumu yanaanza kushawishi vijana eti waandamane hivi...
Friends and Our Enemies,
Katika hotuba yake mashuhuri ya mwaka 1985 ambayo hivi sasa imeachwa kuwekwa katika mfululizo wa hotuba za Mwalim Nyerere amekuwa anakiri kwa kinywa chake namna gani...
Tumalizie kuwaumbua hawa Wakatoliki wa kuchaji. Huyu ni wa mwisho, then tuendelee na mambo mengine ya msingi. Dunia imeshajua hawa ni Wajinga, na Ulimwengu umetambua aliyewatuma ni Mpumbavu.
Huyu...
Kwako CDF MSTAAFU - MABEYO, tunakuomba uingilie kati suala hili naona mrithi wako hili kwake halimhusu, hii tabia ya kuibananga na kuibagaza Imani yetu ya dini yetu ya Roman Catholic ifike mahala...
JajiJoseph Sinde Warioba, waziri mkuu mstaafu amesema maisha yake yako hatarini. Anatishiwa kuuawa, lakini hana cha kuogopa.
"Kuna watu wengi sana wanaoniletea ujumbe, kwamba mzee angalia...
https://www.youtube.com/watch?v=JhNOoI2tIKw
Jikumbushi nywinywi nywinywinywi.
Yako wapi. Kumbe rais alituongopea?
Je, hapa si muongo kama waongo wengine?
Je, haya maridhiano siyo uongo?
Je...
Akizungumza kwa njia ya mtandao kupitia club house Dr. Slaa amesikitishwa na yaliyo nyuma ya maandamano ya wakatoliki feki. Dr. Slaa ameenda mbali zaidi na kumtaja mtu aliyeongoza genge hilo kuwa...
Kisa kwa ufupi: Viktor Frankenstein, mwanasayansi kijana hodari, anashikwa na jazba kuu ya kutaka kugundua siri ya uhai. Hatimaye anafanikiwa kuunda linunda hai kutokana na viungo vya binadamu...
Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Viongozi wa Wizara ya Ulinzi, Jeshi la wananchi na Jeshi la Kujenga Taifa, Ikulu Ndogo ya Tunguu - Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Wanaukumbi.
Mtu anaewaminisha mkaandamane siku ya X-Mass anawaita anadhihaki Jeshi
Mnadhani Jeshi halioni hizo post za wanaharakati
Nendeni mkaliwe vichwa muje muitwe mashujaa huku maiti zenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.