Mwandambo, Nachoka mimi baba yenu: Kweli Kachoka

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
51,932
Reaction score
101,459
Kutoka X: Nili download iyo interview , Nikaangalia na kuskiliza kwa makini

1. Kwanza kawakataa wanaharakati
2. Zile effort zote za free him kapuuza
3. Ana change mwelekeo wa content zake
4.Ataanza content za ndoa
5.Anaanza content mpya kuhusu Imani ake ambayo ni tofauti na Bible, kazi ipo
 
Ni chawa anayatafuta kuwa karibu na mfuga chawa ili arambishwe damu
 
Kutoka X: Nili download iyo interview , Nikaangalia na kuskiliza kwa makini
1. Kwanza kawakataa wanaharakati
2. Zile effort zote za free him kapuuza
3. Ana change mwelekeo wa content zake
4.Ataanza content za ndoa
5.Anaanza content mpya kuhusu Imani ake ambayo ni tofauti na Bible, kazi ipo
ahaaa ahaaa kustukia mnampump kwenye kufinywa makende anakuwa pekee yake shenzi kabisa bora kapata akili , na hasemi tu na Tigo keshaliwa na video wamemrecord afungue mdomo waziachie ahaaa ahaaaa chezea ndevu sio serikali
 
Kuwa mjinga ni gharama sana... Yaani mtu anapongea Yale unayoyawafiki ni mtu nzuri na unampa kila sifa.. lakini akiongelea Yale ambayo wewe huyataki unampa kila sifa chafu.. na unaanza kumwita chawa. Na unafiki zaidi ni pale unapojonasibubya kuwa wewe ni muumini wa mtu kiwa na uhuru wa kujieleza na kutoka maoni yake bila ya kuwa na Kokomo na unajifanya Yuko tayari kitoa uhainwako kutetea Hilo.. lakini uapandr wa pili wewe au nyinyi AKA manyumbu ni wale mnaongoza kwa kutokuheshimu uhuru wa mtu..
 
Chawa ni chawa siyo inshu ya kusema tusiyoafiki au kupenda kusikia. Kwenye majadiliano na falsa, huwezi kuwa hermaphrodite. au popo au shooga.
 
Umeandika kitu gani wewe . Mwenyewe unajiona uko cerebral kwa huo upuuzi ulioandika unashindwa ku raise hoja simple na matokeo yake unaandika kitu ambacho hakieleweki... Jifundishe kuandika kwanza
 
Ni kweli. Kwa wenye matatizo ya akili nimeandika kitu ambacho hakieleweki. Kwa wenye akili, nimeandika madini. Hiyo cerebral ndo nini tena mwanangu? Kama unaanisha akili siyo cerebral au ulimaanisha ubongo au weledi.
 
Umeandika kitu gani wewe . Mwenyewe unajiona uko cerebral kwa huo upuuzi ulioandika unashindwa ku raise hoja simple na matokeo yake unaandika kitu ambacho hakieleweki... Jifundishe kuandika kwanza
Kumbe wewe ndiye katambi naona imekukaba.moaka kooni
 
ahaaa ahaaa kustukia mnampump kwenye kufinywa makende anakuwa pekee yake shenzi kabisa bora kapata akili , na hasemi tu na Tigo keshaliwa na video wamemrecord afungue mdomo waziachie ahaaa ahaaaa chezea ndevu sio serikali
Kwenye kumla tigo ni uwongo...hawawez kumfanyia hovyo sababu hakufanya content za kutisha kiasi hiko
 
Kuwa mjinga ni gharama sana... Yaani mtu anapongea Yale unayoyawafiki ni mtu nzuri na unampa kila sifa.. lakini akiongelea Yale ambayo wewe huyataki unampa kila sifa chafu.. na unaanza kumwita chawa. Na unafiki zaidi ni pale unapojonasibubya kuwa wewe ni muumini wa mtu kiwa na uhuru wa kujieleza na kutoka maoni yake bila ya kuwa na Kokomo na unajifanya Yuko tayari kitoa uhainwako kutetea Hilo.. lakini uapandr wa pili wewe au nyinyi AKA manyumbu ni wale mnaongoza kwa kutokuheshimu uhuru wa mtu..
You are stupid! Stupid indeed! Mtu mwenye akili unasimamia unaloliamini! Kaminywapumbu kidogo tu kageuka, total U- turn! Una akili kweli? Sasa kelel zilikuwa za nini? Stupid!
 
Mwandambo kachomesha tayali awe tayali kukabili stress za social media kwani waliomtumia washamaliza kazi yao sasa wanamdamp kama toilet paper cause washajua jamii tayali inaenda mkataa tumeona kwa zito kabwe, tumeona kwa DJ mbowe, tumeona kwa kina yerick nyerere hata wafanye nini sasa hivi mrejesho wake ni kudhihakiwa na kutukanwa ushawishi umepotea
 
Dah ndugu yangu kwahiyo mzee walimpaka mafuta?? ...kwenye speed ni kweli alikuw mkuku mkuku sana
Huyo hana uzee kitu. Ni dogo wa mwaka 68. Huwezi kumuita mzee baba kama anavyojiita. Huyo ni mwanangu. Kuhusu kupakwa mafuta, unauliza jibu. Anavyoonyesha ni kwamba wamempaka mafuta na kikapenya kitu. Huoni alivyolainishwa na akalainika vilivyo?
 
Back
Top Bottom