Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

China na Russia wana maslahi makubwa Venezuela. Wana biashara ya mafuta. Leo USA amekamata meli za Russia. Suppose China na Russia wanaamua kuingia kwenye vita na USA, nani atatoka mshindi...
2 Reactions
13 Replies
392 Views
Ndugu zangu Watanzania, Hii ndio picha Bora ya kufungulia Mwaka,picha iliyoteka hisia za watu ,picha iliyoleta tabasamu kwa watu,picha iliyoleta furaha mitaani kote. Picha iliyoamsha matumaini ya...
5 Reactions
43 Replies
1K Views
Mkoa wa Kagera hata mkuu wa MKOA au wilaya hasiye muaya ukipata Cha moto sembuse ubunge? Km uamini nisemayo karibu kuchukua fomu ukagombee, utapigwa mande mpk maji uyaite mma. Nauliza Nini...
20 Reactions
159 Replies
7K Views
Uongozi si kulima shamba; uongozi ni kupanga, kuratibu, kusimamia, kuongoza, Staffing. Ukikosea kimoja Kati ya hayo hapo juu unapigwa na stress kipindi chako chote Cha uongozi wako.
4 Reactions
87 Replies
3K Views
Rais Samia katengua uteuzi wa Ummy Mwalimu kama Waziri wa Afya. Ni mmoja wa mawaziri ambao sikutarajia angetumbuliwa na Samia! Imekuwaje akanyang'anywa tonge mdomoni?
9 Reactions
223 Replies
17K Views
Rais Samia ametoa angalizo kwamba unapokuwa mtu wa Imani uwe wa Imani kweli lakini siyo juu unajifanya wa Imani Kumbe Chini ya meza una mambo yako mengine Source: ITV Johnthebaptist nimeipenda...
1 Reactions
11 Replies
792 Views
https://youtu.be/wUu2W2Mk3k0 General Paul Kagame amezungumzia mgogoro wake na Congo. Moja ya vitu alivyovisema ni kwamba wale wote ambao wanaamini kwamba wanaweza kuitishia Kigali wakiwa mbali...
63 Reactions
621 Replies
24K Views
Zile Kura za maruhani kule Zanzibar kuna jimbo Muwakilishi wa CCM alipata Kura 2 na Kura 4762 zikaharibika (maruhani) lakini alitangazwa mshindi na akatimba Baraza la wawakilishi kwa miaka yote 5...
6 Reactions
42 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Kisesa anayemaliza muda wake Luhaga Mpina huenda safari yake ya kuwawakilisha wananchi wa Kisesa ikafikia tamati ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka huu baada ya vikao vya...
14 Reactions
111 Replies
7K Views
Naona bado mnaendelea kufuga uhuni na wahuni Tanzania bado hamjajifunza ile tarehe 29. Njia pekee ya kuiponya nchi yetu ni...
14 Reactions
70 Replies
2K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amesema ameiona barua ya Balozi wa Cuba, Humphrey Polepole mtandaoni na kwamba yeye mwenyewe ndio mwenye...
12 Reactions
77 Replies
6K Views
Wanakumbi. Tukiipitia barua mara mbili mbili tunaendelea kushangazwa sana inakuwaje balozi wa nchi mwenye jukumu la kutumikia taifa huko nje cuba, anaandika kujiuzulu kwake si kwenye majukumu...
10 Reactions
108 Replies
5K Views
Jamani leteni hiyo michango ili tuwafundishe nini maana ya amani Tanzania! :cool: :cool: ========== Mwanaharakati Ahmed Kombo aomba mchango kwa watanzania kwaajili yakuzunguka nchi nzima kuongea...
2 Reactions
5 Replies
207 Views
Mwigulu unapoteza muda wako tu na kufanya watu wazidi kukuchukia. Jiweke upande wa wananchi. Katika mazingira tuliyo nayo nchini kwa sasa, urais hauwezi kupatikana kwa namna yako ya kuongea ili...
15 Reactions
35 Replies
590 Views
Mchakato wa uchaguzi wa kura za maoni za kuwania nafasi mbalimbali za Ubunge na Udiwani, zimeingia dosari baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Mwanga, Ibrahim Mzava, kudaiwa...
20 Reactions
152 Replies
9K Views
Akizungumza na wananchi, Mbunge wa Jimbo la Kawe kupitia tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema Rais sio mzalendo namba moja. Wanajeshi ndio wazalendo namba moja kwa kuwa wanatoa uhai wao...
28 Reactions
160 Replies
9K Views
Nina uhakika hao machawa wa CCM wao mtu kupotezwa au kuuwawa kama mzee Ali Kibao sio ishu kubwa kwao maana chawa anajali tumbo lake kuliko uhai wa Mtanganyika. Tumuachie Mungu. Tuache kuwakebehi...
4 Reactions
45 Replies
2K Views
Wadau Nimestuka muda huu baada ya kuota ndoto ngumu sana, eti asiyepingwa ameamua kuachia kijiti na ameiachia tanganyika huru Kwenye ndoto hii ya muda huu nimeota kwamba vyombo vya dolari...
35 Reactions
148 Replies
6K Views
Hii inatisha ndani kwa ndani aisee Hakuna wa kusovu! Dude linatafuna ndani kwa ndani !! Hapumui, Cha msingi msiache glass za maji wazi . Britanicca!!!
78 Reactions
292 Replies
27K Views
Kwa nini? Kwa sababu hakuwahi kugombea kabisa nafasi hiyo (ya kupeperusha bendera) na kuhudumu. Tukumbuke Kila mgombea aliyeteuliwa alikuja na "falsafa" yake ya kuongoza nchi. NYERERE - Siasa...
6 Reactions
65 Replies
3K Views
Back
Top Bottom