Je, D.Trump anawaingiza chaka au anamaanisha?

Je, D.Trump anawaingiza chaka au anamaanisha?

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,421
Reaction score
17,735
duh!
D.Trump kawaambia wairani wasife moyo waendelee kupambana na msaada uko njiani, na kwamba ''save the names of the killers and abusers'' ...

1768326969337.png

View: https://x.com/PeterSweden7/status/2010132333123260838?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E2010132333123260838%7Ctwgr%5Ef7bc647912c779124e973f8aeac1303501f15ca8%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.zerohedge.com%2Fgeopolitical%2Firan-summons-european-envoys-shows-videos-armed-rioters-causing-mayhem
 
Hii ni kama ile kauli ya jeshi lipo na nyie, tokeni kwa wingi🐼

polisi wanamuangalia jamaa kapanda ubalozi wa islamic republic london na kushusha bendera ya islamic republic, fikiria hiyo ingekuwa tanzagiza dar sipati picha wangeua hadi vitukuu, wazungu noma sana, duh ...

View: https://x.com/PeterSweden7/status/2010132333123260838?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E2010132333123260838%7Ctwgr%5Ef7bc647912c779124e973f8aeac1303501f15ca8%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.zerohedge.com%2Fgeopolitical%2Firan-summons-european-envoys-shows-videos-armed-rioters-causing-mayhem
 
Ingekuwa kwa MUSEVENI risasi zingeoenya kwenye mbavu au kichwa kwa kisingizio alikuwa anaharibu Mali. Na waziri wa museveni angesena guys msizungumzoe hayo mambo
 
Ujumbe ni mzuri sana kwa maneno ya kwanza kabisa huko juu ya ujumbe kuhusu juhudi za wairan wenyewe kupambana.
Sioni tatizo lolote na hilo.

Wakibweteka kusubiri mwenye ujumbe kwenda kuwakomboa hapo watakuwa wameula kishamba sana.

Anachoweza kufanya yeye ni kuunga juhudi za wairan wenyewe wakomboe nchi yao.
Apige mabomu kunakostahiki, kama ataweza, ili kuunga waandamanaji. Amwambie mtu wake Musk, amulike na StaLink yake na kuwapa mawasiliano wapambanaji, ili juhudi zao ziendelee.

Akifanya hivyo, tatizo lipo wapi?
 
Bunker busters nne tu zikishushwa Iran na ile midege stealth mieusi B2 inayokunywa wese pipa kwa sekunde Ayatollah na genge lake na madera yao yatatoroka faster urusi.

Papaa Gx
 
Technic ile ile waliyotumia kwa Tanzania
Labda ueleze unamaanisha nini, vingnevyo sioni mantiki yoyote na maneno yako.

Hakuna aliyeahidi chochote toka nje ya Tanzania kwa vijana wetu mashujaa waliojitoa mhanga kuikomboa nchi yao.
Hapa unajaribu tu kuunganisha jambo ambalo halikuwepo.

Kama unazungumzia ahadi za ndani kwenye vyombo vyetu wenyewe, hilo ni swala tofauti, na linajadilika tofauti na ulivyolenga wewe.
Usifikiri juhudi za ukombozi wa nchi yetu umekwisha.
 
ukombozi wa shishi food au sio 🤣 🤣
 
TAnzagiza haina polisi, ina majambazi na wala rushwa wanaovaa yunifomu
 
Hawa watu wakishindwa kukukamata wanakufanyia figisu na nchi haitatawalika ,
Sahv USA anachoenda kukifanya kwa Iran n kuanzisha vita ya kiuchumi na hapo ndipo Ayatollah atashindwa kuitawala Iran ,
Kwasababu washirika wake ni wabahili hawawezi kumpa hela
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom