Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Uvamizi wa Jeshi la Marekani nchini Venezuela na kutekwa kwa Rais wa Nchi hiyo umetoka masaa matano tu tangu Rais Maduro akutane na maafisa kutoka China. Katika masula ya siasa za kikanda na...
10 Reactions
41 Replies
2K Views
  • Redirect
Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Suleman Bungara, 'Bwege', ametoa wito kwa Watanzania kutoaingia kwenye mgogoro wa dini aliodai kuwa umeanzishwa na watu waliojawa na uroho wa madaraka ambao...
0 Reactions
Replies
Views
Kuna vyama fulani , huwa vinaamini vina ushawishi , kupitia Comments chache za matusi Mitandaoni. na kusahau kuwekeza kwa watu hasa wale wa chini kabisa ambao huwa hawatumii mitandao Ambao ndo...
3 Reactions
28 Replies
414 Views
Anaandika Askofu Bagonza mtandaoni........... POLISI NA “WAKATOLIKI" 1. Nalazimika kuwapongeza Polisi wetu kwa ukomavu wao na ustaarabu wa kutozuia maandamano ya “Wakatoliki” walioenda kueleza...
29 Reactions
47 Replies
2K Views
“Ikionekana Rais abakishiwe Mamlaka aliyonayo kwangu ni sawa, wakisema apunguziwe kwangu ni sawa, na hata wakisema aongezewe zaidi kwangu ni sawa tu” Dr. Makame, Mbunge wa Bunge la Afrika...
0 Reactions
4 Replies
195 Views
TWISEHENI YA HAKI NA AMANI. Hapa Mungu ametupitisha sote katika kujifunza Umuhimu wa Haki katika jamii.Taifa stars wamenyimwa Haki ili kulinda Amani na Utulivu wa Wamoroco. Nimefurahi somo hili...
4 Reactions
13 Replies
328 Views
Abdallah Makame, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, amesema kuwa taifa lina utaratibu wake wa kushughulikia vifo vinapotokea nchini, ikiwemo kutoa pole kwa wafiwa na kuwajali waliojeruhiwa...
0 Reactions
2 Replies
138 Views
Lema alikuwa hana sababu ya kuongea kuhusu Mbowe . Ikiwa mtu hayupo upande wenu Ila nyie mnasapotiwa na mamilion ya watu ambao wanawasikiliza , na kutoa sapoti zao sasa Mbowe yeye ni nani ...
3 Reactions
20 Replies
713 Views
Communists walidanganya wengi, afrika ilidanganywa na communists kwa miaka 60 sasa kwamba Christianity ni adui yao na capitalism inawanyonya, matokeo yake viongozi wa afrika waliwekeza miaka 60...
1 Reactions
10 Replies
235 Views
Naona sisiemu mmeipatia ushindi ,tena wa mezani . Yaani wale front-liners , wote wameamua kurudi nyuma na kubaki katika kuwasikiliza manabii, wachungaji n.k kuhusu utawala. Lissu alisema...
1 Reactions
3 Replies
156 Views
Mwenye nyumba Kariakoo (Mtaa wa Sikukuu/Kipata) anataka kuvuruga watu. Hapo nyuma alikuwa anapokea kodi ya TZS 24,000,000/= p.a, lakini yeye analazimisha na mwanasheria wake kuandika kodi ya TZS...
12 Reactions
53 Replies
3K Views
https://youtu.be/81fVXxv5G_U?si=u5UbC4NXl9Prtyqt ======================= CHADEMA mpo? Act now to prevent this greedy act before it's too late Si mnakumbuka ya wale wabunge wa CIVID19 mara...
9 Reactions
34 Replies
941 Views
Salaam! Walipofunga utepe kanisa la Ufufuo na uzima,palikuwa na sadaka kwenye kapu, palikuwa na mali mbalimbali,walipovamia na kutawanya watu Kisha kuweka utepe, kulikuwa shwari kabisa...
1 Reactions
4 Replies
162 Views
Hii ndio Taarifa ya sasa ambayo tunaweza kuithibitisha bila shaka yoyote baada ya timu yetu ya Uchunguzi kukamilisha kazi katika Mikoa 7 tuliyoitumia kama Sampo, baada ya Humphrey Polepole Kuikata...
16 Reactions
48 Replies
2K Views
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dkt. Abdallah Makame (CCM), amesema kuwa kuna watu wananataka mabadiliko ya katiba unataka nini kibadilike?. Nimekuja kugundua ni ngumu sana kuja kuipata hii...
0 Reactions
10 Replies
226 Views
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dkt. Abdallah Makame (CCM), amesema kuwa hana ufahamu wa chanzo cha matukio ya Oktoba 29, lakini ni kweli kuwa kulikuwa na watu waliokuwa wakitembea na mabegi...
2 Reactions
9 Replies
259 Views
Salaam! Anasimulia jirani. Ilikuwa jioni ya takriban sasa mbili usiku, mtu huyu alikuwa akitoka nyumbani kwa mamaye mzazi aliyekwenda kumtembelea majira ya sasa kumi jioni. Alipoaga na kuanza...
10 Reactions
26 Replies
765 Views
Mzee Ramadhan Omari Mapuri amehudumu kama kiongozi Mwandamizi kwenye serikali na kwenye Chama cha Mapinduzi, Mapuri ni mwanaccm Mtiifu mwenye kadi hai ya uanachama.(Namba yake kadi tutaiweka...
35 Reactions
163 Replies
9K Views
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dkt. Abdullah Makame (CCM), amesema kuwa maridhiano yanayotarajiwa kufanyika hayana uhusiano wa moja kwa moja na matukio ya Oktoba 29, bali ni moja tu ya...
0 Reactions
5 Replies
184 Views
Ni mwajibikaji mstahimilivu sana, msikivu asie na papara na mwenye uwezo mkubwa mno wa kujidhibiti kikamilifu hususani kisiasa licha ya kua na ushawishi na uwezo mkubwa zaidi kisiasa. Daima...
0 Reactions
8 Replies
266 Views
Back
Top Bottom