Mamlaka ya Usafiri wa Ardhini ( LATRA ) imetangaza kwamba hadi kufikia January 6 mwaka 2021 mabasi yote yawe yameanza kutumia tiketi za mtandao, vinginevyo watafungiwa kutoa huduma hiyo .
Bado...
Inashangaza sana tuna Taasisi za Utafiti wa magonjwa na Afya ya binadamu kama NIMR na IFHI, tuna vyuo vikuu vya tiba na huko kote kuna wasomi wanaojiita wabobezi na wa watafiti, nimejiuliza sana...
Saalam familia ya JF,
Katika tafakuri yangu nimeamua kuwapongeza viongozi wa dini hasa jumuia hizi mbili, TEC na CCT kwa kujitoa muhanga na kulisema wazi janga la Covid.
Kwanini nasema kujitoa...
Mmmmh! Siku ya kwanza binafsi kuona bajeti ya jumla ya serikali nilimuuliza rafiki yangu xxxx kwamba hivi tutafanikiwa kweli kama ulaya sisi? Niliuliza hivyo bila kuelewa vizuri maana binafsi...
Anaandika Pd. Titus Amigu..
Dini hazijaanza jana, wala siasa hazijaanza jana. Kwa Wakristo Wakatoliki, kwa woga, watu wanafuja vipaimara vyao na sakramenti ya Daraja inayowafanya wawe makuhani...
Ile dhana ya kwamba makampuni mengi ya kibiashara kufunga biashara zake na kupunguza wafanyakazi limenikuta mbashara sasa.
Ni baada ya kampuni moja ninayofanyia kazi kuanza kupunguza wafanyakazi...
Nimeona tangazo waziri Lukuvi anasema wanakuja na utaratibu mpya ..
Viwanja ambavyo wenyewe hawapo kwenye sijui vitambulisho vya Taifa..watanyang'anywa na vitapigwa mnada...
Toka serikali...
Tunajua Tanzania yako Madhehebu mengi ya Kiimani ila tusidanganyane wala tusizunguke kusema ukweli kwamba tokea Uhuru wa nchi hii hadi sasa Kanisa Katoliki lina nguvu ya 75% ndani ya Watanzania...
Ni utaratibu mzuri tu ambao unatakiwa kuwekwa kwenye katiba ya JMT ili wananchi tusiporidhika na ahadi tulizopewa na mbunge tuliomchagua tuwe tuna uwezo kuweka azimio na likishapita huyo mbunge...
Waziri wa viwanda na biashara mh Mwambe amesema kuna stock ya kutosha ya mafuta ya kula nchini hivyo wananchi wasiwe na wasiwasi wowote.
Mwambe amesema wanatafiti kujua kwanini wafanyabiashara...
Enzi zile unaenda ofisini kuonana na afisa elimu au mkurugenzi unakuta wabeba mafaili wanakushikiniza uwaambie kwanza unataka kumwambia nini unaetaka kumuona na bila kuwambia hivyo viranja/wabeba...
Wana jf
Wengi mnaweza msilione hili lakini mbinu chafu zinazotumiwa Hawa wafanyabiashara kuhakikisha wanapata faida kubwa huku mdoro wa Kasi ya maendeleo ikikwamishwa makusudi. Umoja wa...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inayashikilia magari 10 ya wagonjwa ambayo yalikuwa yagawanywe kwa kata 10 za Jimbo la Same Magharibi na Mbunge wa Jimbo hilo Dkt. Mathayo David...
Mimi binafsi si subiri takwimu zenu kuhusu Corona kwani najua sitazipata, takwimu ninazozitumia ni za vifo vya mfululizo ndani ya familia moja au kundi moja.
Dkt. Kanisa Katoliki liljiikita...
OMBI KWA SERIKALI YA MH. RAIS MAGUFULI:
Serikali kupitia Wizara husika, iunde Computer Lab, ambayo itakuwa na Specs zifuatazo:
Chumba kiwe kikubwa, chenye Computer za Mac "50", zenye specs...
Akizungumza kwa kujiamini mmoja wa wachangiaji amepinga kuvunjwa kwa jiji kulikoleta mkanganyiko wa hadhi ya maeneo , kwa kutolea mfano wa Chanika kuwa jijini huku Magomeni , Kinondoni , Masaki ...
Mhandisi Robert Kabudi mwenye miaka 20 ya kusimamia miradi mikubwa ya ujenzi nje ya Tanzania pamoja na wahandisi wengine mahiri wazalendo wapo ktk mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umeme la Rufiji...
Leo tarehe 05 Machi 2021, Mbunge wa Jimbo la Chonga kisiwani Pemba, kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo ndugu Salum Mohamed Shafi amekabidhi vifaa vya ujenzi wa shule katika Skuli ya Punjini...
RAIS Dkt #MAGUFULI HAJAKATAA CHANJO YA #KORONA, AMBACHO HATAKI NI MAJARIBIO YA CHANJO KUFANYIKA KWA WANANCHI WAKE, MBONA WENYE MAMILIONI YA CHANJO BADO WAKO #LOCKDOWN NA #WANAKUFA Ni #Joseph #Yona...