Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wengi hushangaa wakisikia mtu asiye na kazi nchi zilizoendelea kuwa hulipwa posho kila mwezi na serikali Siri yake ndogo tu ni kuwa miradi mikubwa ya maendeleo mila pesa nyingi kama mabarabara...
11 Reactions
86 Replies
8K Views
Nimesikitishwa na tabia ya Waziri wa ardhi, aliyoionesha akiwa Mwanza wakati baadhi ya wananchi walipomfuata kutoa malalamiko yao. Waziri badala ya kuwa msikivu na kuuliza maswali ya kiufumbuzi...
25 Reactions
128 Replies
12K Views
Kwa malezo aliyotoa Prof Lipumba alipokuwa anaongea na waandishi wa habari huku akiongea kwa uchungu, amesema kuwa rais Magufuli ameharibu taswira ya Tanzania kwenye Jumuia ya Kimataifa. Nchi...
12 Reactions
53 Replies
4K Views
Mwanafalsafa Ayoub Ryoba ambaye pia ni Mkurugenzi wa TBC amesema Mwalimu Nyerere alipenda zaidi Tanzania na Kenya ziungane na kuwa nchi moja. Dkt. Ryoba anasema Mwalimu Nyerere alikuwa tayari...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Leo Machi 3, 2021 Benki ya Dunia inatoa Ripoti yake ya uchambuzi huru wa hali ya kiuchumi ya Tanzania ikiwa ni toleo la 15. Jiunge nasi tukikuletea taarifa mubashara. LIVE: YouTube...
6 Reactions
34 Replies
6K Views
Wapendwa salaam! Kama kuna kitu kinanisikitisha katika nchi hii ni vyama vya upinzani kulala usingizi wa wa pono. Tulidhani kua wao ndio mbadala wa pili wa serikali lakini wamekaa kimya huku...
10 Reactions
49 Replies
3K Views
Hawa ndiyo baadhi ya viongozi tunao wahitaji kwa sasa wanaosema ukweli bila kuwazia nafasi zao za kibarua. Kwenye rangi nyeupe tuseme ni nyeupe na pale kwenye nyeusi tuseme ni nyeusi.
10 Reactions
55 Replies
5K Views
Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Serikali haijapokea taarifa rasmi kutoka Kenya juu ya kuzuiwa kwa mahindi ya Tanzania kuingia nchini humo. Bashe amesema wakipewa taarifa watachukua...
8 Reactions
93 Replies
9K Views
Kila mtu anajua kilichowakuta waliokuwa wachimbaji wa madini huko Morogoro. Mauti iliwakuta pasipokuwa na hatia. Sauti zikapazwa kupinga uonevu uliofanyika. Polisi wakasema walikuwa ni majambazi...
4 Reactions
66 Replies
5K Views
Rais wa Zanzibar leo ametangaza rasmi kuwa Zanzibar inakabiliwa na ugonjwa wa korona na ametaka taadhari za lazima sasa zichukuliwe. Kauli hii ni ya kwanza kutolewa na kiongozi wa juu wa serikali...
41 Reactions
151 Replies
16K Views
Aliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na Serikali. Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na...
22 Reactions
128 Replies
15K Views
Naibu waziri wa Afya, maendeleo ya jamii jinsia na watoto, ametangaza kusimamishwa kazi kwa watumishi watatu wa Halmashuri ya wilaya ya Ngara, ikiwa ni pamoja na mganga mkuu wa wilaya hiyo kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mbunge wa Same Magharibi Mh David Mathayo amekabidhi magari ya wagonjwa kwa kila kata katika jimbo lake. Mathayo amesema magari hayo imara sana ameyanunua yeye mwenyewe ili kuwasaidia wapiga kura...
4 Reactions
78 Replies
8K Views
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi imepiga marufuku baa zinazouza mbege kufunguliwa pamoja na kupika chakula kwenye misiba. Katazo hilo limetolewa leo Ijumaa Machi 5, 2021 na mwenyekiti wa...
16 Reactions
119 Replies
9K Views
Msemaji mkuu wa Serikali ya Tanzania, Dk Hassan Abbas ametoa onyo kwa vyombo vya habari na watu binafsi kutoa taarifa za maradhi, vifo au wagonjwa bila kuzingatia misingi ya utoaji wa taarifa kwa...
7 Reactions
108 Replies
13K Views
DC Jerry Muro ni DC kijana na mchapa kazi kwani katika wilaya yake anewezesha uanzishwaji wa Shule ya mchepuo wa kingereza yaani English Medium. Katika mkoa wa Arusha kuliwahi kuwa na Shule ya...
7 Reactions
48 Replies
6K Views
Nakumbuka marais hawa wawili waliwahi kuzungumza kwa simu hata kabla ya uchaguzi wa mwaka jana 2020 .Rais Magufuli alisema amezungungumza na Rais mwenzake wa Kenya mh Kenyatta na kuweka mambo sawa...
0 Reactions
5 Replies
867 Views
Kila baada ya uchaguzi mkuu imekuwa ni jambo la kawaida kusikia wapinzani wa wakilalamika kuwa wameibiwa kura. Jambo ambalo W anaCCM huwa wanakanusha. Lakini hiki kilio cha wizi wa kura ni cha...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…