Rais Magufuli: Kuna baadhi ya vijana shuleni wamekuwa na viburi, ningetamani viboko viwepo kweli kweli

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
2,663
2,000
Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amesema siku hizi kumejitokeza tabia ya baadhi ya Vijana kuwa na viburi Shuleni, akisema anatamani viboko viwepo kweli.

Ameongea hayo wakati akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Bukoba na kueleza kuwa, hiyo ndio njia pekee ya kumsaidia mtoto ambaye hata hajafikia Adolescence (Balehe).

Vilevile, amewataka Walimu kutimiza malengo yao huku wakizingatia maadili ya kazi hiyo na kusema Mwalimu ni Mzazi.
 
Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
2,949
2,000
Mpaka namaliza form six nilikuwa sijui idadi ya viboko nilivyochezea shuleni.

Lkn dunia ya sasa eti mwanafunzi anafika form 6 amepigwa fimbo 13, fimbo 1 kila mwaka kuanzia darasa la kwanza.

Haya si masihara haya?

Hata bible inasema usimnyime mtoto fimbo
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
14,535

Ndio maana wazungu watuona watu weusi kama ng'ombe. Kuswagwa kwa mijeledi na viboko ndio maadili.

Ndio maana tuna Taifa la Ndio Mzee
 
Siasa Basi

JF-Expert Member
Jul 10, 2016
1,444
2,000
Enzi zangu naenda shule nimevaa bukta za jinsi kama tatu hivi, kipindi hicho waalimu wanapiga kweli, lakini nilikuwa nunda, mkorofi balaa, fimbo mim hazikunisaidia zaidi ya kunikomaza na kunifanya kuwa jeuri zaidi. Kuna siku nilivuliwa nguo zote parade, nikabaki na kipensi cha njisi kilichokatwa na kisu, nikashikishwa masikio nikapigwa fimbo 10 bila kugusa, baada hapo nikanyanyuka nikafuta nikasepa, waalimu wakabaki wanatikisa kichwa Tu.
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
27,427
2,000
Ndio maana wazungu watuona watu weusi kama ng'ombe. Kuswagwa kwa mijeledi na viboko ndio maadili.

Ndio maana tuna Taifa la Ndio Mzee
Mizungu ndio mishoga na misagaji mingi hadi wakaruhusu ndoa za jinsia moja waafrika kiboko ndio kinainyoosha ikae sawa ukiona maeneo yenye shida ya mtoto mishoga na misagaji wanatoka makabila ya puani kama mombasa .pwani na Dar na Zanzibar na jamiii za mitaani ambako viboko kwao kupiga Watoto mwiko

Anyway viboko ni moja ya sababu ya wazazi kupeleka Watoto shule za private ambazo hadi kesho viboko viko palepale ndio maana hata kufaulu kwao kuko juu kuliko shule za serikali ambaxo viboko walilazimisha vifutwe

Mungu mwenye aliagiza mtoto ruksa kumtandika viboko wazungu wanataka Watoto wa kiafrika waharibike kama wa kwao ambao sasa wameshashindikana
 
GODZILLA

JF-Expert Member
Dec 26, 2014
5,618
2,000
Hivi anafahamu Kauli zake tata zina madhara kiasi gani?

Halafu kwanini huwa anashabikia sana viboko? seems like a very desperate sadist!

Hakuna anayependa wanafunzi wawe na viburi, lakini kuna namna bora ya kushughulika nao! They are not animals.

Kwa mwaka tu kuna cases zaidi ya hamsini za vifo vya wanafunzi vinavyotokana na viboko! Yeye haoni hilo kuwa ni tatizo!?

What the HELL is this sadistic bulldozer up to!?

Anataka kuamrisha wanafunzi wauwawe? maana hashindwi kitu huyu mtanganyika shupavu!
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
14,535
2,000
Miungu ndio mishoga na misagaji mingi hadi wakaruhusu ndoa za jinsia moja waafrika kiboko ndio kinainyoosha ikae sawa ukiona maeneo yenye shida ya mtoto mishoga na misagaji wanatoka makabila ya puani kama mombasa .pwani na pwani na Zanzibar na jamiii za mitaani ambako viboko kwao kupiga Watoto mwiko

Anyway viboko ni moja ya sababu ya wazazi kupeleka Watoto shule za private ambayo hadi kesho viboko viko palepale ndio maana hata kufaulu kwao kuko juu kuliko shule za serikali ambaxo viboko wanalazimidha vifutwe

Mungu mwenye aliagiza mtoto ruksa kumtandika viboko wazungu wanataka Watoto wa kiafrika waharibike kama wa kwao ambao sasa wameshashindikana
Hata mijitu myeusi mishoga na nisagaji ipo mingi tu ila tu kwakuwa mijitu myeusi unafiki uko kwenye DNA tunajifanya malaika.

Kama Corona ipo dunia nzima isipokuwa Tanzania pekee, mashoga pia hayawezi kuwepo Kwasababu tunatandika bakora balaa kama ming'ombe.
 
GODZILLA

JF-Expert Member
Dec 26, 2014
5,618
2,000
Miungu ndio mishoga na misagaji mingi hadi wakaruhusu ndoa za jinsia moja waafrika kiboko ndio kinainyoosha ikae sawa ukiona maeneo yenye shida ya mtoto mishoga na misagaji wanatoka makabila ya puani kama mombasa .pwani na pwani na Zanzibar na jamiii za mitaani ambako viboko kwao kupiga Watoto mwiko

Anyway viboko ni moja ya sababu ya wazazi kupeleka Watoto shule za private ambayo hadi kesho viboko viko palepale ndio maana hata kufaulu kwao kuko juu kuliko shule za serikali ambaxo viboko wanalazimidha vifutwe

Mungu mwenye aliagiza mtoto ruksa kumtandika viboko wazungu wanataka Watoto wa kiafrika waharibike kama wa kwao ambao sasa wameshashindikana
We bongozozo unataka kuaminisha watu kwamba sasa hivi Tanganyika haina mashoga kwa sababu mnawapiga watoto viboko?

A very interesting fool! Unabwata mwenyewe kwa raha zako kama vile zuzu asiye na kichwa!

Duuuh! May God save this crippled robot!
 
Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
13,874
2,000
Nina uhakika bavicha hawajawahi kuchapwa shuleni, si kwa viburi hivi walivyonavyo
 
Lob

JF-Expert Member
Jul 24, 2017
399
500
Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amesema siku hizi kumejitokeza tabia ya baadhi ya Vijana kuwa na viburi Shuleni, akisema anatamani viboko viwepo kweli.

Ameongea hayo wakati akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Bukoba na kueleza kuwa, hiyo ndio njia pekee ya kumsaidia mtoto ambaye hata hajafikia Adolescence (Balehe).

Vilevile, amewataka Walimu kutimiza malengo yao huku wakizingatia maadili ya kazi hiyo na kusema Mwalimu ni Mzazi.
Sio sahihi kuruhu viboko shuleni kwani waalimu wengi hawafundishi vizuri na wanatumia fimbo kuwaogopesha watoto wasiulize maswali, wanatumia viboko kama njia mkato ya kutatua changamoto, . Viboko lazima mzazi awepo ktk hio adhabu, na kama mtoto ni mtukutu mrudishie mzazi wake.
 
Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
13,874
2,000
Hivi anafahamu Kauli zake tata zina madhara kiasi gani?

Halafu kwanini huwa anashabikia sana viboko? seems like a very desperate sadist!

Hakuna anayependa wanafunzi wawe na viburi, lakini kuna namna bora ya kushughulika nao! They are not animals.

Kwa mwaka tu kuna cases zaidi ya hamsini za vifo vya wanafunzi vinavyotokana na viboko! Yeye haoni hilo kuwa ni tatizo!?

What the HELL is this sadistic bulldozer up to!?

Anataka kumrisha wanafunzi wauwawe? maana hashindwi kitu huyu mtanganyika shupavu!
Acha ujinga ndio maana matoto yenu yanakuwa mashoga
 
Lob

JF-Expert Member
Jul 24, 2017
399
500
Sijawahi kuona, Profesor, DK au mfanyabiashara aliyefanikiwa kwa sababu alipigwa shuleni, unaharibu watoto kwa kuwajengea uwoga, ndio maana WTZ hawawezi kushindana kwenye medani za kimataifa kwa sababu wamejengewa uwoga, wanajua majungu tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom