Haya maneno kwa picha yangekuwa ya Rais Magufuli. Ni nini maoni yako

At Calvary

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
4,513
3,554
PSX_20200619_151847.jpg
 
Trump anarushia wenzake mawe.

Na wenzake wanamrudishia kwa kumrushia Trump mawe.

Upande wa Trump na hao Democratics wote wana uvumilivu wa kisiasa na wanaheshimu freedom of speech.

Turudi kwenye scenario yako.

Magufuli angetoa hayo maneno je upinzani wangekua na uvumilivu wa kisiasa? Au wangekimbilia mahakamani?

Je, angerudishiwa, yeye angekua na uvumilivu wa kisiasa? Au angeresort kwenye katiba inayosema hatakiwi kurushiwa mawe?

Wrote so much am fvckin hungry
 
Uvumilivu gani wakati wamefunga akaunti yake ya tweeter? Hiyo demokrasia na uhuru gani hapo wakati umemziba Trump mdomo kwenye social media anayoitumia zaidi? Double standards hapo acheni upotolo
 
Hii ishu ni ya zamani. Cheki tarehe ya uzi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom