Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Usiku huu, Aloyce Nyanda (Mtozi) amekuwa na kipindi muhimu katika Star TV usiku huu. Agenda Kuu ilikuwa ni Maadili ya Uandishi wa Habari kufuatia Vyombo vya Habari vya mataifa mengine kuripoti...
21 Reactions
50 Replies
8K Views
Hebu itazameni na nyie hiyo mimbari aliyoitumia Mama Samia Hassan. Iko na muonekano wa hovyo. Imechokachoka. Haina nembo ya ‘Makamu wa Rais’. Mzee Mwanakijiji aliwahi kulizungumzia jambo hili...
13 Reactions
61 Replies
9K Views
Kila eneo analopita waziri wa afya Dkt. Gwajima katika ziara zake mikoani ni vilio tu, wananchi wanalalamikia Huduma hafifu, uhaba wa dawa nk. Kiukweli hii wizara ina madudu mengi sana na sielewi...
12 Reactions
120 Replies
11K Views
Katika kile kinachoonekana kama mwendelezo wa propaganda za kisiasa za kupika dhidi ya wagombea wa urais wa UKAWA kupitia CHADEMA yameelezwa mengi kwa lengo la kumchafua na kumdhoofisha...
21 Reactions
112 Replies
18K Views
Kwa mliosikia hotuba ya leo ya Mama Samia Suluhu, ametoboa siri ya miaka miwili ya mwanzo kama Makamu wa Rais! Amesema yeye na Waziri Mkuu walikuwa wanamlaani Magufuli kwa kuwakemea lakini baadaye...
9 Reactions
81 Replies
10K Views
Ndugu Nape alipohojiwa kuhusu vuguvugu la kumuongezea Rais Magufuli muda wa utawala wake amesema haya yafuatayo. 1. Kwanza anashangazwa na kwamba ndiyo kwanza miaka mitano ya muhula wa pili wa...
21 Reactions
104 Replies
11K Views
Mshikamano huu si kwa walio nchini tu bali wale wote wanaoishi nchi za nje bila kupenda. Kama kuna Mtanzania yeyote aliikimbia nchi, naomba arudi 'tushikamane' tujenge nchi yetu. Kama kuna...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi Lissu kama alijua kwamba ni mgonjwa kwanini aingilie masuala ya siasa kabla hajapona? Siasa zote duniani zimesheheni watu wa aina mbali mbali na sifa mbalimbali, hasa linapokuja kwenye ishu...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Lengai Ole Sabaya leo atakua live katika kipindi cha Star Tv cha Big Ajenda kimachorushwa Live kwanzia saa 3:30 mkapa saa 4:30 usiku Mengi yamezungumzwa ,Mengi yamezushwa ni wakati sasa wa...
1 Reactions
58 Replies
8K Views
Ruge (mwenye suti nyeusi) akiwa kamshika mkono enzi hizo! Ama kweli, hawakukutana barabarani
39 Reactions
238 Replies
23K Views
UVAMIZI CLOUDS,KAMISHNA SIRRO AZUNGUMZA. Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema suala la uvamizi wa kituo cha Clouds Tv wahusika wanatakiwa kuripoti tukio hilo...
17 Reactions
298 Replies
31K Views
MORE MAGUFULI,MORE REFORMS, TUMUONGEZEE MUDA MAGUFULI. Leo 16:15pm 10/06/2020 Maelezo ama narrative ya viongozi wengi awamu ya tatu na nne zilikuwa zina-reflect namna ya kugawana mapato ya Taifa...
3 Reactions
43 Replies
3K Views
BABA WA BEN SAANANE AFUNGUKA UPENDO MOSHA NA SAFINA SARWATT – MOSHI SAKATA la kupotea ghafla kwa aliyekuwa msaidizi wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Bernard...
8 Reactions
252 Replies
28K Views
"Mtu anazungumza eti nimejenga uwanja nyumbani, nikifa nitaenda nalo hilo liuwanja kaburini? Ni lazima upange mipango mipana, tumejenga na tunajenga viwanja vingi zaidi ya 11, hivyo viwanja vyote...
102 Reactions
557 Replies
46K Views
Naomba niweke kumbukumbu sawa kidogo. Wanasiasa wengi hasa wanaopingana nae wamekuwa wakimsema sana Mh Lowasa kwamba ni mgonjwa na hivyo hawezi kuhimili kiti cha Urais. Maneno hayo huibuka...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
" Watu wanasema mimi ni Mgonjwa, lakini wakumbuke kuwa Suala la ugonjwa au uzima lipo mikononi mwa Mungu, Nawapa Hongera wale wanaojiona wana Afya njema, lakini wakumbuke kuwa na Afya njema ni...
11 Reactions
27 Replies
6K Views
Namwona yule cool sana, anajiamini, ana uelewa mzuri wa sayansi ya utabibu pamoja na siasa za nchi hii. Sio mropokaji, na anaonekana anashaurika. Hatumii nguvu kuonyesha ana uwezo, bali...
3 Reactions
105 Replies
11K Views
Wenda, Corona ni mradi wa biashara za watu, ila Magufuli amechangia kufanya biashara hiyo kudhorota sababu :- 1/Alifichua siri ya vipimo vya corona vingi vilikuwa fake ndipo China ikaja na wazo la...
5 Reactions
42 Replies
8K Views
Kama mnavyofahamu siku zote ni kwamba CHADEMA ndio inayoonyesha na kupanga Dira ya Taifa , ambayo kwa bahati nzuri wananchi wanaitekeleza , sasa tega sikio ujue ni mwongozo gani utatolewa.
11 Reactions
44 Replies
6K Views
Hey, it’s me, yours truly and back again with another one. I got a feeling. A feeling deep down in my bones that it’s the end of the road. A big announcement soon to come? Let’s keep it locked...
37 Reactions
102 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…