Agenda ya kwamba "Lowasa ni mgonjwa" huwa ni ya kipindi cha uchaguzi tu au Lowasa ameshapona?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,551
Naomba niweke kumbukumbu sawa kidogo.

Wanasiasa wengi hasa wanaopingana nae wamekuwa wakimsema sana Mh Lowasa kwamba ni mgonjwa na hivyo hawezi kuhimili kiti cha Urais.

Maneno hayo huibuka kipindi cha kampeni. Lakini cha kushangaza toka uchaguzi uishe hakuna hata mtu mmoja aliyetamka kwamba Mh Lowasa ni mgonjwa Na mara nyingi wengi ambao wamekuwa wakimtabilia kifo mh lowasa wameshatangulia mbele za haki (RIP). Bado wachache tu.

Nauliza sasa:

Mh Lowasa ameshapona? Mbona hawamsemi tena?
 
Wewe si ulimtusi pia? Hacheni unafiki CCM
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom