Video: Jinsi wanufaika wa utawala wanavyowafanya Viongozi wa kisiasa kuwa miungu watu

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,601
94,726
Hapa ni iliyo kuwa Zaire kipindi cha nyuma wanufaika wa rais wa zamani wa nchi hiyo wanavyo muimbia nyimbo za mapambio.

Tabia hizi ni za kibinafsi sana kwani ni kujirahisishia au kujisafishia njia kwa bwana mkubwa ili kuyajaza matumbo yao.

Hii tabia haina nafasi tena kwenye karne hii tuliyo nayo.

Sasa hapo ungemkuta Luambo Makiadi na gitaa lake ndiyo ungeshangaa kabisa anavyomsifu Mobutu.
Hapa kwetu siku hizi huwa tunaimba kale kanyimbo ketu pendwa kanasema hivi "Tuna Imani"

Tuna Imani na Magufuli Oyaa oyaaa oyaaa!
Tuna Imani na Lowassa Oyaa Oyaa Oyaaaaaa!

It's just a Monkey Business and a load of baloney.
 
Lengo la post ni kumpiga nyundo JPM , lakn jaman si tulipiga kampeni wote , tukatukana tukahamasishana , tukazomea .... Mda wa kupiga kura ukafika wananchi wakapanga foleni , matokeo yakatoka, wengine wakaamua kuondka kwenda ughaibuni Kula Maisha , JPM amebak na kuweka Sawa Serikali yake nasi wananchi tupo tunapambana na Maisha kupata mkate wa kila siku.

Lakn bado mnamuita dikteta, analambwa miguu , duuuh Aya bhana
 
Lengo la post ni kumpiga nyundo JPM , lakn jaman si tulipiga kampeni wote , tukatukana tukahamasishana , tukazomea .... Mda wa kupiga kura ukafika wananchi wakapanga foleni , matokeo yakatoka, wengine wakaamua kuondka kwenda ughaibuni Kula Maisha , JPM amebak na kuweka Sawa serikali yake nasi wananchi tupo tunapambana na Maisha kupata mkate wa kila siku ....

Lakn bado mnamuita dikteta, analambwa miguu , duuuh Aya bhana
Hayo ni maoni yako na kama kuhukumiwa utahukumiwa nayo
 
Haraka haraka Nimeona vitu vinne hapo...
1. Pisi Kali moja
2. Fally Ipupa
emoji1787.png
ila kanenepa
3. Wazungu wanaimba kilingala
4. Ngozi ya Chui halisi
 
Lengo la post ni kumpiga nyundo JPM , lakn jaman si tulipiga kampeni wote , tukatukana tukahamasishana , tukazomea .... Mda wa kupiga kura ukafika wananchi wakapanga foleni , matokeo yakatoka, wengine wakaamua kuondka kwenda ughaibuni Kula Maisha , JPM amebak na kuweka Sawa serikali yake nasi wananchi tupo tunapambana na Maisha kupata mkate wa kila siku ....

Lakn bado mnamuita dikteta, analambwa miguu , duuuh Aya bhana
Mbona umeruka swala la kuletwa kwa kura feki ili Jiwe awe Rais?
 
Sasa hapo ungemkuta Luambo Makiadi na gitaa lake ndiyo ungeshangaa kabisa anavyomsifu Mobutu.
Hapa kwetu siku hizi huwa tunaimba kale kanyimbo ketu pendwa kanasema hivi "Tuna Imani"

Tuna Imani na Magufuli Oyaa oyaaa oyaaa!
Tuna Imani na Lowassa Oyaa Oyaa Oyaaaaaa!

It's just a Monkey Business and a load of baloney.......
Ingratitude by Tshalla Muana.
Pres. Tshisekedi Felix kaimbwa..
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom