Zitto awalipua Gazeti la Tanzanite, adai linapata Ruzuku kutoka Ikulu

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
2E29320A-D23A-4BC4-8E10-61E39C660907.jpeg
 
Nimeiona hii habari nikasema Zitto kaamua kuwalipia na nikasita hata kuileta humu.

Kwenye tweet iliyofuata,kamtaja kigogo mwingine kuwa ni miongoni mwa wamiliki wa hili gazeti tena mtu ambae kwa nafasi yake anahusika kwa namna fulani katika kusimamia media!

Wacha tuone kama watathubutu kumshitaki maana hii tuhuma ni nzito sana.

Kuna mtu ni mfujaji mkubwa wa fedha za umma na hana mfano.
 
Zitto nakwambia mwaka huu utakuwa kichaa haki ya nani! Hebu fikiria kashifa unazotoa kwa vyombo vyetu Vya ulinzi huku ukitegemea chama chako kushika dola Mbona unaharibu sasa?

Au umekata tamaa kiasi cha kuamua kukifuta chama chako act wazalendo? Naamin una shida kichwani siyo bure
 
Nimeiona hii habari nikasema Zitto kaamua kuwalipia na nikasita hata kuileta humu.

Wacha tuone kama watathubutu kumshitaki maana hii tuhuma ni nzito sana.

Kuna mtu ni mfujaji mkubwa wa fedha za umma na hana mfano.
Awamu ya 5 ndio serikali isiyo na aibu kuliko zote duniani na kiukweli Tiss inatumiwa kishamba sana ! kuna haja ya kubadilisha uongozi wake wa juu
 
Zitto nakwambia mwaka huu utakuwa kichaa haki ya nani! Hebu fikiria kashifa unazotoa kwa vyombo vyetu Vya ulinzi huku ukitegemea chama chako kushika dola Mbona unaharibu sasa?

Au umekata tamaa kiasi cha kuamua kukifuta chama chako act wazalendo? Naamin una shida kichwani siyo bure
Umasikini wa akili ndio umasikini mkubwa kuliko wote - JK NYERERE
 
Back
Top Bottom