Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ninawasalimu wandugu wote wa JF. Naomba nirejee kwenye Biblia Takatifu Kitabu cha Muinjili Marko 6 : 21 - 27 [ 21 Baadaye Herodia alipata nafasi aliyokuwa akiitafuta. Wakati wa sikukuu ya...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Wanabodi najua kabisa tupo kwenye msiba mkubwa. Msiba ambao umemgusa kila mtu na mpaka sasa kila Mwananchi haamini kilichotokea. Lakini yapata kama wiki moja iliyopita taifa zima lilikumbwa na...
41 Reactions
164 Replies
18K Views
Akiwa anatoa hotuba ya Kumsimika Makamu wa Chuo Kikuu Dar es Salaam. Prof. William Lazaro Anangisye, ametoa Mfano akiwa mwenyekiti wa CCM huko Mtwara akotokea Jeshini. Aliambiwa... “Ukitaka...
12 Reactions
141 Replies
28K Views
The Crown Prince HE Muhammad bin Sulaiman, deputy prime minister and minister of defense has congratulated Madam Samia Suluhu Hassa for becomming President of Tanzania. Below is the quote from the...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Mtabiri maarufu ametabiri kuwa Rais ajae Tanzania atakuwa ni mwanamke. Utabiri huo utakuwa umewakata maini Mh Laigwanani na Mh wa Mambo ya nje. Source: Magazeti ya leo kama vile Majira na Jambo Leo
0 Reactions
177 Replies
20K Views
Vijana wengi tumeaminiwa na kupewa madaraka makubwa sana lakini Madaraka hulevya mno, ukuu tunaopewa unatulewesha na kudhani wengine wasio na madaraka si chochote wala si lolote! Je, kama nchi...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Rais Magufuli amethibisha kuwa yeye ni mtu makini, mwenye msimamo usioyumba, huyu ni Amiri jeshi mkuu hasa, mwenye maamuzi magumu, Rais asiyeangalia sura ya mtu wala ukubwa wa jina la mtu, wala...
14 Reactions
57 Replies
6K Views
Leo Ijumaa tarehe 14, Agosti 2020 ningependa kutoa challenge kwa wagombea urais wote isipokuwa Rais Magufuli. Hususan Tundu Lissu na Bernard Membe maana wao ndo wanadai kuwa wanakubalika sana na...
0 Reactions
84 Replies
8K Views
magari ambayo Makonda anamiliki ambayo hayaendani na mshahara wake ukiondoa V8 ambayo Ni serikali, hizi zingine amezitoa wapi Bei ya hili gari Bei yake Ni shilling 14632940 millions ana Range...
21 Reactions
201 Replies
81K Views
DR.EMMANUEL JOHN NCHIMBI ACHIA NGAZI Siku zote mtu anayesema ukweli huchukiwa na watu wengi hata pengine kutafutiwa namna ya kuuawa, mfano, nabii Yeremia katika kitabu chake sura ya kwanza kwenye...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Taarifa kutoka Dar es Salaam maeneo ya Posta, walemavu kadhaa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi DSM kufuatia kufunga barabara wakishinikiza kupinga kukamatwa kuingia mjini na baiskeli zao.
3 Reactions
376 Replies
32K Views
Huu ndio ushauri wangu kwa serikali hii mpya ili tuone ni nini kimo kwenye hiyo mikataba na tukigundua ni mikataba mbovu; basi tuisitishe na kisha tuifumue kabla ya kuendelea nayo. Tukumbuke...
37 Reactions
85 Replies
7K Views
Mimi Ni mwalimu mstaafu, enzi tunasoma tulikuwa tunafundishwa zaidi kufahamu saikologia ya mwanafunzi. Mfano, ukiwa unafundisha ukabaini yapo Mambo usiyoyajua kitaalamu lakini unaamini wapo...
0 Reactions
0 Replies
568 Views
Baada ya kufuatilia kwa kina ninakagundua kuna upotishaji mkubwa wa lengo la kumchonganisha rais na wananchi wasio na uelewa, Uwanja wa Chato ni local airport, ambao pamoja na vipimo vya makadirio...
14 Reactions
97 Replies
13K Views
Jitihada za Rais Magufuli NA Benki kuu zairejesha thamani ya Tanzania shilling ndani ya.masaa 48, Siku nne zilizopita 1 USD ilikuwa 2580 lakin muda huu imesoma 1USD ni 2238 1 kenya shiling...
12 Reactions
62 Replies
11K Views
Anasema ''maagizo kwa wizara ya ujenzi km 16 ambazo zishabomolewa waanze ujenzi, najua mnajua mheshimiwa Pinda alinikataza kubomoa kipindi kile, lakini muda huu hawezi maana mi ndo rais. Kwa...
6 Reactions
168 Replies
19K Views
Nikiangalia namna jeneza lilivyozungukwa hasa Leo jijini Dar inaonyesha wale key figures wa protocol na security hawakuwepo may be wote wameambatana na Mhe. Samia huko Dodoma, ila nilitamani kuona...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Kuna story moja ya Isaac Asimov, Science Fiction, nafikiri ni "Franchise". Wamarekani wametengeneza computer ambayoiko so advanced,inawauliza watu maswali mengi sana,halafu, badala ya kuwa na...
11 Reactions
52 Replies
7K Views
Wengi wanaotaka kuaminisha umma kuwa hayati JPM alikuwa kiongozi asiyefaa imegundulika ni wapuuzi wa huko Twita, wanasiasa njaa/matapeli ambao wananchi hawawataki. Hawa wanataka kila mtu aamini...
52 Reactions
142 Replies
11K Views
Namshangaa Rais wa jamhuri ya Tanzania, Wachache wanatumia gharama na nguvu kubwa mno kumkatisha tamaa Watu wamewekeza kwenye media kumchafua, Watu wana engineer mauaji na kuyareport kimataifa...
10 Reactions
79 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…