Ahadi ya Herode ilivyomponza JPM

chaliko

Senior Member
Apr 1, 2019
180
802
Ninawasalimu wandugu wote wa JF.

Naomba nirejee kwenye Biblia Takatifu Kitabu cha Muinjili Marko 6 : 21 - 27

[ 21 Baadaye Herodia alipata nafasi aliyokuwa akiitafuta. Wakati wa sikukuu ya kuzaliwa kwa mfalme Herode, mfalme alifanya sherehe kubwa, akawaalika viongozi wakuu wa ikulu, makamanda wa jeshi na watu mashuhuri wa Galilaya.

22 Binti yake Herodia akaja akacheza, akamfurahisha Herode pamoja na wageni wake. Mfalme Her ode akamwambia yule binti, “Niombe kitu cho chote utakacho, nami nitakupa.”

23 Akala kiapo akamwambia, “Cho chote utakachoomba, hata ikiwa ni nusu ya ufalme wangu, nitakupa.”

24 Yule binti akaenda akamwuliza mama yake, “Niombe nini?” Mama yake akajibu, “Mwombe kichwa cha Yohana Mbati zaji.”

25 Yule binti akarudi haraka kwa mfalme akamwambia, “Nataka unipe sasa hivi kichwa cha Yohana Mbatizaji kwenye sinia .”

26 Mfalme akajuta sana, lakini hakuweza kumkatalia kwa kuwa alikuwa ameapa mbele ya wageni wake, na hakupenda kuvunja ahadi yake.

27 Kwa hiyo Herode akamtuma mmojawapo wa walinzi wake mara moja akamwagiza alete kichwa cha Yohana. ] Mwisho wa kunukuu maandiko.

Kisa hiki ndicho kinachomtesa JPM katika kufanya maamuzi dhidi ya DAB.

Tulipompa mamlaka ya kutuongoza alipata shida sana zile siku za mwanzo ( Naomba nisizitaje ). Watu walishiriki kumsaidia lakini shida ilizidi badala ya kupungua.

Mtoto mpendwa (DAB) aliahidi kumsaidia na alimpeleka mtu akamsaidia shida ile ikaisha.

JPM alipo muuliza ( Yule aliyeletwa na DAB ) nikupe nini?.

Mletwa alijibu, "Usinipe kitu ila muangalie kijana wangu"

JPM aliahidi kwa namna yoyote ile atamlinda kama vile alivyoahidi HERODE kwa BINTI YAKE.

NINA WAHAKIKISHIA WALE MNAO SUBIRI DAB ATUMBULIWE MTASUBIRI SANA.

Nawasilisha.
 
Chaliko una uhakika? Ujue dhambi sana kuhusisha Biblia na stori za kutunga kama huna hakika, ila kama una hakika basi sawa......
 
Umesema mambo mazito ila muda ukifika ufimbue hill fumbo LA hayo mambo
 
Kama kuna kaukweli hivi. Ila ukiendelea kupata history ya Herode alikufa na mwanae pia na hata mama yake alokuwa anamchukia Yohana na kusababisha kifo chake nae hayupo tena. Na ufalme wao ukafitinika hata leo.
 
Ninawasalimu wandugu wote wa JF.

Naomba nirejee kwenye Biblia Takatifu Kitabu cha Muinjili Marko 6 : 21 - 27

[ 21 Baadaye Herodia alipata nafasi aliyokuwa akiitafuta. Wakati wa sikukuu ya kuzaliwa kwa mfalme Herode, mfalme alifanya sherehe kubwa, akawaalika viongozi wakuu wa ikulu, makamanda wa jeshi na watu mashuhuri wa Galilaya.

22 Binti yake Herodia akaja akacheza, akamfurahisha Herode pamoja na wageni wake. Mfalme Her ode akamwambia yule binti, “Niombe kitu cho chote utakacho, nami nitakupa.”

23 Akala kiapo akamwambia, “Cho chote utakachoomba, hata ikiwa ni nusu ya ufalme wangu, nitakupa.”

24 Yule binti akaenda akamwuliza mama yake, “Niombe nini?” Mama yake akajibu, “Mwombe kichwa cha Yohana Mbati zaji.”

25 Yule binti akarudi haraka kwa mfalme akamwambia, “Nataka unipe sasa hivi kichwa cha Yohana Mbatizaji kwenye sinia .”

26 Mfalme akajuta sana, lakini hakuweza kumkatalia kwa kuwa alikuwa ameapa mbele ya wageni wake, na hakupenda kuvunja ahadi yake.

27 Kwa hiyo Herode akamtuma mmojawapo wa walinzi wake mara moja akamwagiza alete kichwa cha Yohana. ] Mwisho wa kunukuu maandiko.

Kisa hiki ndicho kinachomtesa JPM katika kufanya maamuzi dhidi ya DAB.

Tulipompa mamlaka ya kutuongoza alipata shida sana zile siku za mwanzo ( Naomba nisizitaje ). Watu walishiriki kumsaidia lakini shida ilizidi badala ya kupungua.

Mtoto mpendwa (DAB) aliahidi kumsaidia na alimpeleka mtu akamsaidia shida ile ikaisha.

JPM alipo muuliza ( Yule aliyeletwa na DAB ) nikupe nini?.

Mletwa alijibu, "Usinipe kitu ila muangalie kijana wangu"

JPM aliahidi kwa namna yoyote ile atamlinda kama vile alivyoahidi HERODE kwa BINTI YAKE.

NINA WAHAKIKISHIA WALE MNAO SUBIRI DAB ATUMBULIWE MTASUBIRI SANA.

Nawasilisha.
Mh ujuwi siri ya mchezo keep cool and ye shall see
 
Fadhila za kumpiga mzee warioba pale ubungo plaza
Lizaboni
 
Hiki kisa cha yohana mbatizaji kimenifanya nikumbuke siku mzee makamba aliposema kwamba mkulu anabatiza kwa moto na kuponda sana wapinzani .

Sasa Juzi nikasikia analalamika kuwa wanaogopa kutoa maoni kisa eti ukitoa maoni unafatiliwa .

Hahahahah nikajiulize kumbe ni. Mmoja ya wale wabatizwao kwa "moto"

Hahahahah dunia hadaa walimwengu shujaa
 
Mkuu Kambaku hebu jiulize,

Anna Kilango alikosea kusema kuwa Mkoani kwake hakuna Wafanyakazi hewa. Nini kilimtokea?

Wakurugenzi wangapi wametumbuliwa?

Ila DAB amefanya makosa mangapi na bado yupo. WHAT'S SO SPECIAL TO HIM?

Back
Top Bottom