OMBI: Mzee Mangula sasa apumzike tu siasa

Sanyambila

JF-Expert Member
Jan 24, 2018
339
457
Poleni saana watanzania
Ninafuatilia hotuba mbalimbali hapa nimeona kwamba hotuba ya Philip Mangula haijaeleweka ameitwa kutoa pole yeye ana sema msiwe na hofu Makamu ataongoza vizuri tu,

Kwa sasa hatuna makamu pia Rais Mama Samia siyo tena makamu
Alipaswa atoe pole na faraja tu.
Amwshindwa hata kusema raha ya milele umpe eee Bwana.......
Naomba nishauri Mangula apumzishwe tu. Busara zake tutazipata hata akiwa njee ya uongozi
 
Nipo nje ya mada: Mangula hajavaa raba kweli msibani? Maana ni mzee wa raba.
 
Atapumzika ila sio sasa, labda kwa amri ya Mungu tuu. Tunamuombea sana
Ashukuriwe Magufuli kwa kutuachia viongozi makini
 
Mangula ni mtendaji zaidi,naona kaitendea haki nafasi finyu aliyopewa.

Kumbuka walipewa dakika moja,kama aliandaliwa hotuba,alitakiwa ai summarise ndani ya mda mfupi.
Bado ni hazina.
 
Hajatoa pole amesimama na chama tu

Ni sawa na kusema gari lako limepata ajari halafu unaulizia tu gari yangu imepona.???
Juwa kwanza halo za watu ndo uingwana sasa yeye chama tu familia hajaiona? Atupe pole basi
 
Poleni saana watanzania
Ninafuatilia hotuba mbalimbali hapa nimeona kwamba hotuba ya Philip Mangula haijaeleweka ameitwa kutoa pole yeye ana sema msiwe na hofu Makamu ataongoza vizuri tu,

Kwa sasa hatuna makamu pia Rais Mama Samia siyo tena makamu
Alipaswa atoe pole na faraja tu.
Amwshindwa hata kusema raha ya milele umpe eee Bwana.......
Naomba nishauri Mangula apumzishwe tu. Busara zake tutazipata hata akiwa njee ya uongozi
Vipi kama mzee hajakosea kwa alichokiongea?
 
Poleni saana watanzania
Ninafuatilia hotuba mbalimbali hapa nimeona kwamba hotuba ya Philip Mangula haijaeleweka ameitwa kutoa pole yeye ana sema msiwe na hofu Makamu ataongoza vizuri tu,

Kwa sasa hatuna makamu pia Rais Mama Samia siyo tena makamu
Alipaswa atoe pole na faraja tu.
Amwshindwa hata kusema raha ya milele umpe eee Bwana.......
Naomba nishauri Mangula apumzishwe tu. Busara zake tutazipata hata akiwa njee ya uongozi
Halafu akipumzika ataishije? Unataka astaafu halafu arudi kijijini kwake Wanging'ombe akalime viazi mviringo, na umri wake huo? Mwache mzee ale mafao yake bhana hapo Lumumba na vijana wake shupavu akina Elitwege, Bia yetu, YEHODAYA, Jane Lowassa , mama D, kipara kipya , jingalao , nk. 😇
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom