Polisi Tanzania kwanini hamuwakamati Maria Sarungi na Fatma Karume? Mnabaki kukamata wananchi wa kawaida?

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Mnafanya kazi kwa mihemuko ya kisiasa isiyo na kichwa wala miguu. Huko Mtwara mmemkamata mwanamke kwa kuvaa dera la Chadema. Huko Manyara mmekamata watu kwa kusherehekea mpaka sasa hatujasikia kuwapeleka mahakamani.

Lakini hawa watoto wa vigogo wanadhihaki kifo cha hayati JPM na kusherehekea wazi kabisa kitendo ambacho ni kosa la kimtandao lakini hawakamatwi. Fanyeni kazi bila kubagua hakuna aliye juu ya sheria.
 
Mnafanya kazi kwa mihemuko ya kisiasa isiyo na kichwa wala miguu. Huko mtwara mmemkamata mwanamke kwa kuvaa dera la Chadema. Huko Manyara mmekamata watu kwa kusherehekea mpaka sasa hatujasikia kuwapeleka mahakamani.

Wacha leo nikupongeze kwa kusema point bila kuegemea itikadi
 
Mnafanya kazi kwa mihemuko ya kisiasa isiyo na kichwa wala miguu. Huko mtwara mmemkamata mwanamke kwa kuvaa dera la Chadema. Huko Manyara mmekamata watu kwa kusherehekea mpaka sasa hatujasikia kuwapeleka mahakamani.

Lakini hawa watoto wa vigogo wanadhihaki kifo cha hayati JPM na kusherehekea wazi kabisa kitendo ambacho ni kosa la kimtandao lakini hawakamatwi. Fanyeni kazi bila kubagua hakuna aliye juu ya sheria.
Maria Sarungi na Fatma Karume ni watu Wa system
 
Mnafanya kazi kwa mihemuko ya kisiasa isiyo na kichwa wala miguu. Huko mtwara mmemkamata mwanamke kwa kuvaa dera la Chadema. Huko Manyara mmekamata watu kwa kusherehekea mpaka sasa hatujasikia kuwapeleka mahakamani.

Lakini hawa watoto wa vigogo wanadhihaki kifo cha hayati JPM na kusherehekea wazi kabisa kitendo ambacho ni kosa la kimtandao lakini hawakamatwi. Fanyeni kazi bila kubagua hakuna aliye juu ya sheria.
Weka hapa ushahidi wa kisheria wametenda kosa gani kufurahia kifo cha marehemu?

Mbona Idd Aminin alikufa tukafurahi na hatukukamatwa?
 
Mnafanya kazi kwa mihemuko ya kisiasa isiyo na kichwa wala miguu. Huko mtwara mmemkamata mwanamke kwa kuvaa dera la Chadema. Huko Manyara mmekamata watu kwa kusherehekea mpaka sasa hatujasikia kuwapeleka mahakamani.

Lakini hawa watoto wa vigogo wanadhihaki kifo cha hayati JPM na kusherehekea wazi kabisa kitendo ambacho ni kosa la kimtandao lakini hawakamatwi. Fanyeni kazi bila kubagua hakuna aliye juu ya sheria.

Police wanafanyakazi kwa kufuata sheria si Amri zako
 
Mnafanya kazi kwa mihemuko ya kisiasa isiyo na kichwa wala miguu. Huko mtwara mmemkamata mwanamke kwa kuvaa dera la Chadema. Huko Manyara mmekamata watu kwa kusherehekea mpaka sasa hatujasikia kuwapeleka mahakamani.

Lakini hawa watoto wa vigogo wanadhihaki kifo cha hayati JPM na kusherehekea wazi kabisa kitendo ambacho ni kosa la kimtandao lakini hawakamatwi. Fanyeni kazi bila kubagua hakuna aliye juu ya sheria.
Acha upumbavu. Ni kosa kwa sheria ipi ya mtandao.

Yaani eti ni sheria kwamba kila mtu akifa lazima watu wahuzunike?

Huu ni ujinga wa hali ya juu.
 
Bichwa maji nenda kapitie Cyber Crimes Act yote ndio uje ubishane na wanaume.
 
Mnafanya kazi kwa mihemuko ya kisiasa isiyo na kichwa wala miguu. Huko mtwara mmemkamata mwanamke kwa kuvaa dera la Chadema. Huko Manyara mmekamata watu kwa kusherehekea mpaka sasa hatujasikia kuwapeleka mahakamani.

Lakini hawa watoto wa vigogo wanadhihaki kifo cha hayati JPM na kusherehekea wazi kabisa kitendo ambacho ni kosa la kimtandao lakini hawakamatwi. Fanyeni kazi bila kubagua hakuna aliye juu ya sheria.
Hakuna mtu aliyekamatwa kwa kuvaa dela la chadema, hacheni kuzusha uongo.

BTW Maria na Fatma walishakimbiaga nchi kitambo hawapo nchini. Wapo wanatumika na wazungu huko kutuzulia taaruki ili tuingie kwenye civil war.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom