Watani zetu wa kisiasa CCM chukua wazo hili kwa moyo mweupe, siasa sio vita

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
5,978
6,782
Kwanza tupeane pole ya msiba,KWA maana marehem alikua kiongonzi wetu wote kama Rais, that's jana nimeshinda kwenye tv mpaka macho yanauma ili kushudia safari yake ya mwisho,hivyo ni wazi mh jpm(Rip) Chama chake ilikua posta kwake ila barua ilikua ni ya wazi KWA watanzania wote.

Mada husika ni pamoja na kuwashauri, ndugu zetu na watani zetu wa kisiasa, kwamba zipo nafasi ndani ya chama chenu zipo wazi mfano katibu mkuu wa chama,tafadhali sikiliza lipo jembe moja lilikua moja ya watia nia mwaka 2015 kupitia chama chenu,mtasema mengi binafsi KWA nafasi hii, pamoja na kebehi, propaganda wa uroho wa madaraka ndani ya chama chenu anawafaeni hasa tunapoelekea kuwa na vyama imara vya kupangua hoja bila kutumia manguvu ,na Hili laja Wala hakuna wa kulizuia ,asema bwana,
Jembe lenyewe ni lile kutoka familia na mtoto, wa MWALIM J.K.NYERERE, iko wazi kwamba mwaka 2015 alikua moja ya watia nia ya uris pitia CCM.

Hakuna binadam asie namapungufu ila KWA nafasi tajwa hapo juu mazuri wenda yakazidi mapungufu, yule bwana yuko smart, akitoa maneno utacheka hata Kama ulikua umenuna,japo hicho sio kigezo Cha msingi ila vipo vigezo naviona kwake Mara dufu
CCM mna watu bomba Sana ila hamtaki kuwatumia, sijui tatizo ni umimi uliowajaa vichwani?

KAMA MWANACHAMA MPYA WA CHADEMA TANGU MWAKA JANA MWISHONI ,CHUKUA USHAURI HUU FREE SIKU NYINGINE MTATAKIWA KULIPA, CHA BULE MJINI NI SALAAM

Pamoja katika kulijenga taifa
 
Huyo mtu wako inaonekana wazi kitu pekee alichorithi kutoka kwa Baba wa Taifa ni ucheshi na kikohozi cha hiari tu basi.
 
Mkuu ile ni mashine,sema mnamchafua tu but anauwezo mkubwa amin nakwambia,alipewa nafasi Kama Iyo ccm mtashangaa mlichelewa wapi
 
Wale ni dam Kama za kina mh KINYATA wa kenya, watoto wa mjini, na chama kinaitaji watu Kama wale KWA tahalifa YAKO mkuu
 
Hata Membe na timu yake ileee mbona watu wanasema hivyohivyo tu!??? Kama msipoelewa leadership style ya JPM, basi ni wazi miaka mitano iliyopita ulikuwa muda wa hasara kubwa isiyokadirika kwenu.
 
Wale ni dam Kama za kina mh KINYATA wa kenya, watoto wa mjini, na chama kinaitaji watu Kama wale KWA tahalifa YAKO mkuu
Hatuhitaji watoto wa mjini wala vijijini kwenye uongozi na suala zima la kuleta maendeleo, ustawi na fanaka kwa taifa; tunawahitaji watu wenye nia ya dhati, uthubutu, msimamo usioyumba, uzalendo usiotiliwa mashaka, bidii isiyochoka, na hamasa na ubunifu binafsi wa ndani usiotegemea kuchechemuliwa na watu wengine.
 
Mkuu Sina shaka na maneno yake ,but elewa mkuu chama Cha siasa pamoja yote uliyosema ila chama ni mvuto, na mvuto ni kuwa na watu wakuvta hisia za watu, sasa unakua na watu Kama BASHIRU,anafikili elim yake inaongea kuliko hisia za watu kwenye chama,hufiki,elewa na ndo ukweli ccm KWA Sasa mvuto KWA wananchi hamna,umoja umebaki kwenye kampeni wakipewa flana,na kanga,wanachama wenu hawpo kukijenga chama bali tu kujisogeza karibu ili tu wapate ajira,uongozi basi,but check chadema watu wanajenga chama KWA mikono yao wenyewe,tafakari mkuu na chukueni hatua

^Kitakuwa kituko cha mwaka, ajabu ya maajabu na kosa la kishamba kutegemea na kupokea ushauri kutoka kwa mpinzani ama adui yako^ ~ JFK
 
Mkuu vyama ni Kama posta tu,undugu pale pale mkuu,mpinzani ni mtanzania na tunajenga nyumba moja
Mfano kabla ya kua na chama japo siwezi jiunga ccm, wakati mh Dr Mwinyi kwenye mchakato wa kumpata Rais wa Zanzibar, Kuna sehem nilochangia hum jf kwamba kati ya wote waliokua wanapendekezwa pitia ccm alikua bora,na nilienda mbali pia kwamba hata kuaRAIS bara anaweza kufaa, so why mtu anaewatakia mema ccm aonekane mbaya?, Tunataka siku moja mungu awake nguvu ili mkashudie CHADEMA tukichukua dora mchana kweupe siku moja, hata mh CDF. Kwenye hotuba yake jana katambua uwepo wa viongonzi wa vyama vya upinzani, maana yake anajua tz KWA mjibu wa katiba wanaweza kua madarakani,Sasa sie ni nani tuone haliwezikaniki,na kwamba kuwapeni ushauri mwaiona hatuwatakii mema,watani acheni Mambo haya
 
Siyo kwenye ardhi ya Tanzania hii, labda Planet Mars!??? Unajua hata Shetani akitaka kumshawishi mtu kwenda upande wake wa dhambi na kifo, huwa anampendekezea mambo mazuri kabisa ambayo kwa nje ni kama ^mema^!??? Hivyo, tambua nyie si wageni ama watu wa kwanza kufanya ulaghai & hadaa, sawa!???
 
Usifanye madhambi angali hu hai,dunia yapita mkuu,kutafakari kwamba wpinzani ni mashetani sio sawa mbele za bwana, tumekuja juzi kwenye haya mavyama,so isiwe kigezo Cha kujiona tu wabobezi kwenye siasa za ardhi hii,
Hacha chuki, PENDA mwenzako kadri mungu atupendavyo utaishi miaka mingi,sio maneno ya mbatizaji 47 bali ni maneno yake kupitia kwake japo sio mchungaji na Hana kanisa ,but mungu huwatumia watu KWA kila wakati na waina tofauti,
Nakueleza ndugu mungu atasema na wewe usipo tubu juu ya ubaguzi huu, asema bwana,
Ccm Kama chama,CHADEMA Kama chama tutakufa tutaviacha au vitakufa but tz Kama taifa litabaki why ujikoseshe pepo KWA Mambo Kama haya?
By the way mungu anasema hu mtu mwema na mpenda haki,but kiburi Cha madaraka kimekulewesha,tazama lini umeenda nyumba ya ibada mshukuru mungu, lini kabla ya kulala,au pumzika umemwambia mungu asante? mtandao wa kidunia ni mdogo Sana mbele za mungu badilika mkuu
 
Back
Top Bottom