Kipindi hiki ambacho Makamu wa Rais hajatangazwa bado, likitokea tatizo nani atashika nafasi ya Urais kwa mujibu wa Katiba?

xox

JF-Expert Member
Sep 23, 2018
1,395
6,490
Nilikuwa nataka kujua tu kutoka kwa wenye uelewa zaidi.

Kwa kipindi hiki ambacho Makamo wa Rais hajatangazwa bado, ikitokea Rais aliye madarakani akakutwa na jambo linaweza pelekea kusitisha uwezo wake wa kuwa Rais, nani atashika madaraka?
 
Jamani, jamani, jamani -- daonilodi Katiba kwa hiko simumilisi chako uisome please, sawa!? Pia, tujifunze kuwa OPTIMISTIC wakati wote, sawa!?
 
Nilikuwa nataka kujua tu kutoka kwa wenye uelewa zaidi, kwa kipindi hiki ambacho Makamo wa Raisi hajatangazwa bado; ikitokea raisi aliye madarakani akakutwa na jambo linaweza pelekea kusitisha uwezo wake wa kuwa raisi, nani atashika madaraka?
Ni Spika wa bunge naye kama hawezi atachukua Jaji mkuu.
 
Jamani, jamani, jamani -- daonilodi Katiba kwa hiko simumilisi chako uisome please, sawa!??? Pia, tujifunze kuwa OPTIMISTIC wakati wote, sawa!???
It would have sufficed to just pass by quietly had it been that you don't know the answer. And I wasn't aware that inquiring of a possible occurrence is being pessimistic.
 
Nilikuwa nataka kujua tu kutoka kwa wenye uelewa zaidi.

Kwa kipindi hiki ambacho Makamo wa Rais hajatangazwa bado, ikitokea Rais aliye madarakani akakutwa na jambo linaweza pelekea kusitisha uwezo wake wa kuwa Rais, nani atashika madaraka?
Wanafanya kusudi kuchelewesha mchakato labda kwa nia njema ama dhamira ovu! Nawaza tu...
 
Nilikuwa nataka kujua tu kutoka kwa wenye uelewa zaidi.

Kwa kipindi hiki ambacho Makamo wa Rais hajatangazwa bado, ikitokea Rais aliye madarakani akakutwa na jambo linaweza pelekea kusitisha uwezo wake wa kuwa Rais, nani atashika madaraka?
Ndugai ataukwaa
 
Ni Spika wa bunge naye kama hawezi atachukua Jaji mkuu.

Ukisoma Katiba iliyo katika lugha ya kiswahili inatoa utaratibu uliousema ila ukisoma ile iliyo katika lugha ya kiingereza toleo la 2008 article 37 (3) inasema atakaechukua madaraka ni waziri Mkuu.

Ki utaratibu kukiwa na mgongano kati ya katiba ya lugha ya kiswahili na ile ya lugha ya kingereza ile ya kingereza huchukua mkondo
 
Chadema mna maudhi hamjui tuh
Chadema walitegemea uchaguzi, jinga kabisa wanasheria wao vilaza akiwemo lissu aliyewalisha TLS matango pori wakatoa ufafanuzi fake. Baada ya H.E.Samia SALUHU kuchukua kijiti mtapoteana 2025
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Back
Top Bottom