Lazima tujiulize je china kutoa tamko la kupinga Tanzania kuingiliwa je kuna rasilimali wamepewa tayari ili waseme hivyo ?
Tunaviongozi wajinga sana aisee
Angalia vi
Director kakosea igizo halafu kokosea tena😂😂😂😂.
Huyo dada na genge lake naona bado hawajatosheka na uhuni wao. Cha kusikitisha media kama ITV inashadadia upumbavu kama huu.
Kwa nini...
Habari wanajamvi,
Kwanza kabisa naomba nianze kwa kudeclare my interest. Katika maisha yangu yote sijawahi hata siku moja kujihusisha na siasa kwa namna yoyote ile. Sijawahi kuwa mwanachama wa...
Na. M. M. Mwanakijiji
Tanzania tuliyoijua kabla ya Oktoba 29, 2025 haipo tena, haiwezi kuwepo tena, na hata tukiitaka kwa machozi hatuwezi kuipata tena. Tanzania iliyojivunia “umoja na...
Baada ya kuanza kutambuliwa mmoja baada ya mwingine , hatimae wale wakatoliki feki wameanza kukumbana na mob justice..Na wakwanza kabisa kukutana na hasira ya wananchi ni yule msemaji wao mwenye...
Ni General Dan Caine, mkuu wa majeshi ya Marekani [Chairman of the Joint Chiefs of Staff].
Nimemtazama na kumsikiliza leo kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika baada ya operesheni ya...
1. Wewe unajua kabisa kuwa waliopiga kura ni wanafiki wasiofika hata milioni 1 nchi nzima na wewe unayejidai ni mtu wa dini sana ukakubali kutumia takwimu feki eti wapiga kura waliojitokeza ni...
Kuna vitu vinafanywa na serikali ukiviangalia vinaumiza, vinatia watu hasira.
Na Hata hakuna anayejali, au kuumia kama ambavyo wananchi tunaumia.
Hapo juu Kuna Picha nne, ingawa nimeziunganisha...
Ujanja wa CDM kutengeneza scenario ya makada wao kuwa wametekwa wakati wanatekana wenyewe kwa wenyewe umegundulika kuna mamia ya wanachama wametekwa na viongozi wa juu wa CDM hii yote ni...
Nasikia walikuwa Ikulu jana wanamichezo.
Anakusanya 'hooligans" because these so called michezo eg football are rooted in hooliganism ( refer to football hooliganism ).
Anawagawia bibahasha vya laana
Awali ya yote napenda niwasalimie shikamooni! Pia nisiache kuwasalimu kwa kauli mbiu ya "KAZI NA UTU"
Mh waziri pamoja na Mrajisi Mkuu tifa ,baada ya salama naomba nisiwachoshe niende Moja kwa...
"Hawa watu wametukaba koo kweli"; Alisikika Mwigulu Nchemba akimwambia Jakaya Kikwete ktk korido za Lumumba
"Na sisi tutahakikisha tunatumia kila njia kujisafisha, na kama mbwai basi na iwe mbai...
Utasikia makada uchwala wanaongea hadharani kuwa TEC wanaifadhili CHADEMA tena bila hata aibu huku wakijua upuuzi wanaousema hauwezi kukubalika na mtu yoyote.
Mtu mpuuzi analipwa pesa na kufanya...
Nilmjua katambi akiwa chadema Hana sifa na hadhi ya kuwa WAZIRI WA mambo ya ndani kama ambavyohafai chawene.
Magufuli alimchunguza na kubaini jamaa anatembeza sura na kitombo IKULU akamtumbua je...
Vijana wa Jimbo la Mlimba, mkoani Morogoro, wameonyesha mshikamano mkubwa kwa kumsukuma gari la Mgombea Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalim, mara baada ya kumaliza...
Simbachawene ameonekana kuwa mkubwa kuliko samia mwenye ushawishi ndio maana wahuni wamemtoa asisikike.
Nchi upumbavu mwingi sana hii tusitarajia mabadadiliko yoyote tena bali ni upumbavu tu
Kitabu The Prince, Mwana Mfalme, ni kitabu kilichoandikwa na mwanasias wa kale katika dola la Roma, Niccolo Machiavelli, mwaka 1513. Huyu aliangalia utawala ulivyokuwa, misingi yake, kuendelea au...
Hamjambo!
1. Moja ya mambo yaliyonifanya niandamane na kunusurika kuuawa ni pamoja na kupinga Utekaji, mauaji, wasiojulikana na siasa zisizo za haki kwa wapinzani. Ingawaje sina chama lakini mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.