Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,651
- 10,032
1. Wewe unajua kabisa kuwa waliopiga kura ni wanafiki wasiofika hata milioni 1 nchi nzima na wewe unayejidai ni mtu wa dini sana ukakubali kutumia takwimu feki eti wapiga kura waliojitokeza ni zaidi ya milioni 30.
Huo ni UHUNI na UPUMBAVU kabisa. Siwezi kuwa na rais wa hovyo hovyo mlafi wa madaraka kama wewe.
Pole.
Huo ni UHUNI na UPUMBAVU kabisa. Siwezi kuwa na rais wa hovyo hovyo mlafi wa madaraka kama wewe.
Pole.