Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Redirect
Ameongea bila hata aibu kuwa sasa hivi watanzania wanaogopa kuingia barabarani sababu tu walipigwa risasi na kuuliwa ili yeye akae madarakani. Hii ni kauli mbaya sana kwa kiongozi yoyote. Ipo...
0 Reactions
Replies
Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China, Mheshimiwa Wang Yi, amewasili Dar es Salaam, Tanzania, kwa ziara ya kikazi ya siku...
0 Reactions
15 Replies
363 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Hoteli ya Jaz Elite Aurora iliyopo Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 09 Januari, 2026...
1 Reactions
35 Replies
776 Views
Leo nimepata wasaa wa kusikiliza kwa makini maojiano na vyombo vya habari aliyoyafanya Dr Kitima na kujiridhisha pasi na shaka Kanisa Takatifu la Mitume Kanisa Katoliki na TEC wana idadi kamili ya...
7 Reactions
49 Replies
1K Views
"Wengi wanaosema hivi ni watu ambao hawajalelewa kimaadili, kwa mfano leo mimi nimekuja hapa Jambo TV huwezi kuniuliza swali linalonikera nikapigana na wewe, kufanya hivyo ni kukosa maadili na...
0 Reactions
0 Replies
167 Views
Mara Tyrant mara Bucherer huku Mwigulu na timu yake wapo bize kuwabagaza wafiwa. The Times, London The Sun, London CNN, United States BBC, London Kuna msemo mmoja wa kizungu unasema, “Give...
14 Reactions
47 Replies
1K Views
Hiyo ndio maana inayotamkwa hadharani kuwa tukae kimya kama mapimbi huku familia za mafisadi wachache wa CCM wakifaidi mali za umma kihuni. Hapo kunakuwa na umuhimu wa amani?
2 Reactions
2 Replies
128 Views
CHADEMA wamekuwa wajanja, CHADEMA ndo chama pekee kinachozungumza hoja za mwananchi wa kawaida; Haki za binadamu, utawala bora, threats, kupigwa, enforced disapperance- Amesema Wakili Mwabukusi
1 Reactions
1 Replies
118 Views
Mwambieni Samia ukweli. Marekani kuna vyama vikuu viwili. 1. Republicans- Chama anachotoka Donald Trump ambacho ndo kinaongoza nchi yao kwa sasa. Hawa ni Pro Christians na Pro Christian values...
9 Reactions
39 Replies
885 Views
Mie namfahamu akiwa kiongozi mkuu wa BAVICHA zaidi ya hapo simkumfuatilia kwa ukaribu Tena --- 3. Paschal Katambi Patrobas - Mbunge wa Shinyanga Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Elimu...
2 Reactions
46 Replies
3K Views
Mlipomsifia tu kuwa Simbachawene anabusara na uwezo mkubwa wa kufanya shughuli za umma. Hapo ndipo yalianza matatizo
4 Reactions
10 Replies
353 Views
Ujumbe wangu ni huo! Unaeleweka na wala hauhitaji maelezo SAVE TANZANIA/TANGANYIKA
5 Reactions
15 Replies
327 Views
Rais wa TLS Wakili Boniface Mwabukusi akizungumza katika mahojiano na Jambo TV leo Januari 9,2026 amesema kuwa Vurugu za Oktoba 29 zilianzia kwenye vituo vya kupigia kura kwa sababu wananchi...
0 Reactions
0 Replies
158 Views
Akizungumza na Jambo TV leo Januari 09.2025, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema wananchi wamekuwa wakipeleka malalamiko kuwa kuna ndugu zao waliuawa...
0 Reactions
2 Replies
275 Views
Umeenda zako Zanzibar watu shwaaa wameandamana kwenda kwa Papa Vatican. Aliyekwambia kuwa serikali yako ina urafiki na katoliki ni nani? Hukuona mwaka jana mapolisi wanasimama na kusema Padre...
9 Reactions
11 Replies
613 Views
George Simbachawene amehudumu katika nafasi ya Waziri wa Mambo ya Ndani kwa siku 52 pekee, kabla ya uteuzi wake kutenguliwa jana Januari 08, 2025.
0 Reactions
3 Replies
206 Views
Rais Wa Chama cha mawakili Tanganyika ameeleza kuwa mauaji yaliyotokea Oktoba ni makubwa hayakuwahi kutokea Toka Tanganyika ijulikane na si Muarabu, Mjerumani wala Muingereza aliyefanya mauwaji...
0 Reactions
0 Replies
141 Views
Akizungumza na Jambo TV leo Januari 09.2025, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema ni vyema Mahakama ikakubali kwenda sambamba na ukuaji wa teknolojia...
0 Reactions
0 Replies
153 Views
  • Redirect
Sheikh mwaipopo anaonekana misikitini akidai kitima alikutana na heche na kumpa milioni mia moja Ni matumaini yangu, kanisa langu makini moja takatifu la mitume litakanusha,na siyo kukanusha tu...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom