Unajiuliza hawa machawa huku mitaondaoni ni akinq nani kumbe ndio wale walio andamana basi unawadharau sana hao watu.
Kila mmoja anajua kuwa wao ni njaa wameokotwa okotwa huko ila wenyewe wapo...
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Dkt. Abdallah Makame(CCM) amesema kuwa waliofanya mauaji, kuvamia vituo vya polisi, maduka na kuchoma mali ni watu waliokuwa na silaha ambao mpaka sasa...
Utendaji wa sasa wa wafanyakazi wa Tanesco katika kushughulikia dharura za umeme zinapotokea, kwa kweli zinatufurahisha wateja kwani ni za haraka na za ufanisi mno.Sijajaua nani aliyeleta mwamko...
Huyu ni mchambuzi kutoka Afrika Kusini aliyekuwepo nchini baada ya “uchaguzi” wa Oktoba 29, 2025.
Kwenye hii video anatoa maoni na uchambuzi wake juu ya kile kilichotokea na kile ambacho anahisi...
Mpendwa Baba Askofu Mwamakula!
Wiki 2 zilizopita nilipigiwa simu kutoka Kata ya Shangani, Halmashauli ya Manispaa Mtwara. Aliyenipigia simu alijitambulisha kwa jina la Faudhia Napome, ni mdada...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akimtambulisha Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh, wakati wa uzinduzi wa Hoteli ya Jaz Elite Aurora...
Hakuna ubishi. Samia Suluhu Hassan ni mmojawapo wa watawala wanaochukiwa ndani ya nje. Japo anao machawa wake wanaomtetea na kuwaona wanaomchukia kama wasaliti na wenye makosa kwa sababu wazijuazo...
Samia amewekwa na wananchi?
Ibara ya 8 ya katiba ya JMT inawapa wananchi mamlaka ya kuweka watWala.
Rais Samia alishakataliwa na Wananchi. Yupo madarakani kwa nguvu za jeshi na polisi.
Wapo wanaodhani Kanisa ni jengo tu.
Historia inasema vinginevyo.
Kanisa Katoliki si chama cha siasa, lakini likiguswa vibaya, huamsha nguvu ya wananchi kuliko risasi.
Hebu tuangalie mifano ni...
Yohana Mbatizaji alisisitiza na kuhubiri juu ya Toba. Akawahimiza wayahudi kumsubiri mesiah Yaani Yesu.
Kubwa kuluko yote alipinga maovu ya watawala na kuwaeleza ukweli juu ya uovu wao...
https://youtu.be/vnNAjzF05cY?si=5A3MnmDOll83sAOB
Kumekucha..
Hukumu ya kumwaga damu ya raia wasio na hatia zaidi ya 10,000 kwa siku zisizozidi 4 tu (29/10 - 3/11/2025) iliyofanywa na Samia na...
Jamani hongereni na majukumu ya kifamilia. Nauliza tu, hivi tangu kuzaliwa kwa chama CCM kimetengeneza au kuzalisha maditekta wangapi mpaka sasa?
Siku za usoni namwoona Daudi Bashite ataongeza...
Upinzani Tanzania ulale pema peponi.
Hakuna tena matumaini ya kufufuka. Alisikika kiongozi wao akiomba jumuia za Kimataifa kuongoza nchi kwa serikali mseto ila CCM wasiwepo kwenye huo mseto...
Google map wamekwisha update Picha zao za satellites
Hizi ni picha mbili za eneo moja ndani ya miezi kadhaa, Picha ya upande wa kushoto ni ramani mpya.
Hili eneo la chini ni eneo katika msitu wa...
Wanabodi,
Kwa maslahi ya Taifa,
should we demand more transparency and the right to information kwenye teuzi za key posts ziwe endorsed na Bunge with a security of tenure?.
Should we adopt the...
Taarifa za Hivi Punde, leo Januari 10, 2026
Clemence Mwandambo mkazi wa Mbeya aliyekamatwa tarehe 29.12.2025 amefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Temeke Jana tarehe 9 Januari 2026 na Jeshi la Polisi...
Polisi kushikiria mwandambo bila kumpeleka mahakamani wala kumpa dhamana wala kujilikana alipo ni utekaji wa raia wa wazi na hauvumiliki.
Inakuwaje mtu anatekwa kituo cha polisi ?
Kuna vitendo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.