Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

UCHUMI TANZANIA 2026 Januari 2026 unaonyesha kuwa uchumi wa Tanzania upo katika kipindi muhimu cha mpito, ambapo ukuaji wa jumla wa uchumi ni imara, lakini kuna changamoto za kimuundo katika...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Rais Samia sidhani kama hata course ya Umumugambo anayo lakini analaumiwa. Nchi kila sehemu Ina vijitu vinatwa usalama wa taifa Nyerere aliviwekega mpaka barabarani na vilifanya KAZI nzuri sana ...
1 Reactions
6 Replies
169 Views
Serikali haramu iache upumbavu usituite tuna amani wakati mnateka na kuuwa watu kila siku amani ya nyoko mme teka mpaka maiti mlizouwa. Mpaka maiti zilizo uwawa zimeshikiliwa mateka mnasema...
1 Reactions
3 Replies
136 Views
Professor Kabudi sasa ni wakili wa wauaji wa Oct 29
9 Reactions
28 Replies
708 Views
Nimefikiria sana kabla ya kuandika singa hii, kwa vile wengi wameshaandika juu ya maudhui. Lakini, kama mfuatiaji wa karibu wa yale yanayoendelea Burkina Fasso, wivu, uchungu na tafrani...
5 Reactions
6 Replies
288 Views
Dada #cherry_hollister na mumewe hawajulikani walipo kwa zaidi ya wiki moja sasa. Nyumba yao ilivamiwa na watu waliofunika nyuso zao ambao walivunja geti na kuingia ndani kisha kung'oa CCTV...
1 Reactions
17 Replies
907 Views
Nauliza tu nijue, mshauri wa Rais analipwa na nani? Au hawalipwi wanakula posho TU? Kwa Nini alimpiga chini kassimu Majaliwa na Leo anamsogeza Tena? Au anamwonea wivu alivyonawili?
5 Reactions
17 Replies
418 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Agnes Amos Liku, Miaka 35, Mkazi wa Mwanzongumu, Kata ya Msimbu, Wilaya ya Kisarawe kwa kutoa taarifa za uongo kuwa amejifungua mtoto katika Zahanati ya...
3 Reactions
33 Replies
894 Views
Ndugu zangu waislam na wakristo Watu wa mungu hawaogopi kufa wala kutekwa kwasababu ya kusimamia ukweli na hao ndio walio changia nchi kupata uhuru hapo awali. Mungu ataki waoga anataka...
5 Reactions
13 Replies
273 Views
  • Featured
Tangu Nicolás Maduro achukue hatamu za uongozi mwaka 2013, Venezuela imepitia misukosuko mikubwa ya kisiasa na kijamii ambayo imesababisha shutuma nzito za ukiukwaji wa haki za binadamu...
21 Reactions
68 Replies
3K Views
KUWA MWEMA ISIKUFANYE USITUMIE AKILI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Wema usio na akili ni uovu. Ni upumbavu. 2. Unapomfundisha mtoto wako mambo Mema yaani kuwa Mwema usiache kumfundisha...
3 Reactions
8 Replies
238 Views
Na ninapo sema jiandaeni namaanisha mjiandae kwa mengi yaani, mateso,dhihaka kejeli na mengine mengi na hamta kuwa na la kufanya kwa sababu hayupo aliye upande wenu kwa sasa na hayupo wakuwasaidia...
3 Reactions
8 Replies
305 Views
Ni zaidi ya siku 90 toka aliyekuwa Balozi wa Cuba na mwana CCM aliyewahi kushika nafasi mbalimbali ikiwemo Ukatibu Uenezi 'adaiwe kutekwa' na 'watu wasiojulikana' October 6, 2025. Ungetegemea...
7 Reactions
25 Replies
449 Views
AARIFA KWA UMMA UCHUNGUZI WA MATUKIO MATATU YA VIFO Jeshi la Polisi linafanya uchunguzi wa matukio matatu ya vifo vilivyotokea kwa nyakati tofauti Tarime/Rorya, Jijini Arusha na Rufiji. Tukio la...
1 Reactions
10 Replies
397 Views
Iran kuna Baraza la maulamaa la Ayatollah linaloitwa Guardian Council na masheikh viongozi mbalimbali wa kidini ila mpaka sasa hakuna masheikh wowote waliothubutu kujitokeza kuwasomea watu...
12 Reactions
26 Replies
644 Views
Kwanza nawasalimu kwa jina la Jamhuri, pili nawasalimu kwa jina la CCM, tatu karibu sana brother, nakutana mara tatu Makonda, Makonda, Makonda, nchi ili kosa mtu mwenye neno lenye maamuzi, na...
8 Reactions
91 Replies
10K Views
  • Redirect
Lazima tujiulize je china kutoa tamko la kupinga Tanzania kuingiliwa je kuna rasilimali wamepewa tayari ili waseme hivyo ? Tunaviongozi wajinga sana aisee
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Angalia vi Director kakosea igizo halafu kokosea tena😂😂😂😂. Huyo dada na genge lake naona bado hawajatosheka na uhuni wao. Cha kusikitisha media kama ITV inashadadia upumbavu kama huu. Kwa nini...
0 Reactions
Replies
Views
Habari wanajamvi, Kwanza kabisa naomba nianze kwa kudeclare my interest. Katika maisha yangu yote sijawahi hata siku moja kujihusisha na siasa kwa namna yoyote ile. Sijawahi kuwa mwanachama wa...
12 Reactions
36 Replies
2K Views
Back
Top Bottom