Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikijiuliza Mbowe kwa sasa yuko wapi baada ya kuporwa chama na mnyampaa? Nadhani ni swali la watu wengi pia. Nimeshangaa kugundua jabali la siasa za upinzani nchini...
Na maskini ya Mungu,
na wafuasi wake hao pasipokujua ni hadaa na drama, wanakubali kubebwa ufala wa kifikra kisheria, na kujikuta wanaamini porojo na kamba za kisheria kwamba baada ya hapa itakua...
Jamani naomba kujua kama jaji Mtungi na msaidizi wake Sisty wapo!
Kuna chama cha siasa kinamiliki majeshi na vyombo vya usalama.
Nadhani hii ni kinyume na sheria ya vyama vya siasa na natumaini...
Nimefurahi kuwa Masanja Kadogosa umeteuliwa kuongoza wizara muhimu sana kwa nchi maana aliyepita alikuwa anazungukwa tu kwa kutokuwa na utalaam wowote kwenye hiyo sekta angalau wewe unauzoefu...
Sisi watanzania wa kawaida tumepata mkanganyiko sana kwa kitendo cha ofisi ya DPP na mawakili wa serikali kutumia neno 'uttering' kwenye kesi ya jinai.
Tulioishia kidato cha nne,sita na waliosoma...
Leadership should not be measured only by economic statistics, infrastructure projects or political popularity.
It should also be measured by respect for constitutional rights, peaceful...
Mwanaharakati wa mitandaoni, Mange Kimambi, amewajia juu wanasiasa na kueleza kusikitishwa kwake na hatua yao ya kubadili mwelekeo wa kisiasa baada ya kukusanya michango ya fedha kutoka kwa...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema amemsikia Kenani Kihongosi akieleza nia ya kufanya mdahalo naye, huku akisema angependa kwanza kujua walipo Polepole na Nchimbi.
Heche amesema...
Dr Emmanuel Nchimbi ni muuminifu sio tu wa muda mrefu lakini pia amekuwa mtiifu sana kwa kanisa katoliki(RC), ambalo ndilo lenye idadi kubwa zaidi ya waumini hapa Tanzania.
Sisi waumini wake...
Kuna video baba levo amepost akisema amepewa elimu ya kodi baada ya sintofahamu kutokea kati ya ommy dimpoz na afisa TRA yaani amekuwa mbunge ilihali hajui sheria za kodi usishangae hata alipokuwa...
Ni General Dan Caine, mkuu wa majeshi ya Marekani [Chairman of the Joint Chiefs of Staff].
Nimemtazama na kumsikiliza leo kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika baada ya operesheni ya...
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kimetakiwa kusimamia ubora wa elimu inayotolewa chuoni hapo ili kuhakikisha hadhi ya Chuo na elimu ya Tanzania kwa ujumla inalindwa.
Hayo yamesemwa leo na...
Sio unabii au utabiri bali ni hitimisho ambalo nimekuja nalo baada ya kupitia mambo mbali mbali katika hii nchi.
Habari za wakati huu wasomaji wa JF ndani na nje ya mipaka ya taifa hili.
Hii...
Barua ya Wazi kwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania
Mheshimiwa Mkuu wa Chuo,
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania,
Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua fursa hii kwa niaba ya wanafunzi wa...
Katika kile kinacho onekana na kinaendelea kuonekana dhahiri kua Majeshi yote ni Mali ya CCM na ndio yaliua watu siku ya maandamano ya October, CCM imesema kua Majeshi hayo ni Mali yao kwa kauli...
Rais Samia amefanya uteuzi wa viongozi;
(i) Masanja Kungu Kadogosa (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Ujenzi;
(ii) Abdallah Hamis Ulega (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Kabla ya...
Naomba ufafanuzi kutoka wizara ya elimu..
1. Nani ni Mwenyekiti wa bodi ya Samia scholarship.
2. Lengo kuu la Samia scholarship ni nini, kitu gani cha tofauti Samia scholarship inafanya ambacho...