Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Siku ya Demokrasia Duniani huadhimishwa tarehe 15 Septemba kila mwaka. Siku hii ilitengwa rasmi na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN) mwaka 2007 kwa lengo la kuhamasisha na kulinda misingi ya...
1 Reactions
3 Replies
88 Views
Hamjambo! Sisi tunatazama. Tunafuatilia kila kitu kwa ukaribu sana. Tunahakikisha hatutapitwa na chochote. Ingawaje kuna baadhi ya episodes hatuzielewi na kuzifanyia tathmini inachukua muda...
11 Reactions
33 Replies
564 Views
Ikiwa Malasusa anapenda Madaraka huko Jkkkkkt basi inafaa aje jimboni Busokelo tumfunze siasa za kumwaga pesa na kubadili katiba juu kwa juu
0 Reactions
2 Replies
93 Views
Naomba kujua huyu Salman Nileshi anaehusishwa kwenye sakata la John Heche n nani hasa na kwann anamsaidia Heche
2 Reactions
16 Replies
383 Views
Katika ujenzi wa madarasa, nimemuelekeza Waziri wa Tamisheni kuanzia sasa wafanye tathmini: maeneo yote ambayo yana majengo yanayofaa kufunikwa kwa kumalizia majengo ambayo yamejengwa kwa nguvu za...
0 Reactions
2 Replies
57 Views
  • Redirect
Kwa sasa wanachama wa Chadema wanawasikiliza zaidi Mange Kimambi na Sativa zaidi ya wanavyosikiliza viongozi wao. Chama kuendeshwa na wanaharakati ni hatari sana , na imefikia hapo kwa sababu hao...
1 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
DKT. MWIGULU: MFUMO MPYA WA UNUNUZI PAMBA UJULIKANE NDANI YA MWEZI MMOJA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amemuagiza Waziri wa Kilimo kukutana na wadau wa zao la pamba na ndani ya mwezi mmoja...
0 Reactions
– Replies
– Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amemuagiza Waziri wa Kilimo kukutana na wadau wa zao la pamba na ndani ya mwezi mmoja kuwasilisha mapendekezo ya mfumo bora wa ununuzi wa pamba utakaowanufaisha...
0 Reactions
2 Replies
156 Views
Serikali imeondoa sheria iliyokuwa ikiruhusu mifugo ya wananchi kutaifishwa na kuelekeza mapitio ya sheria na kanuni nyingine zinazohusiana na mifugo. Amesema hayo wakati akizungumza na wananchi...
0 Reactions
0 Replies
20 Views
Serikali imeelekeza zaidi ya Sh 1.4 trilioni katika Mkoa wa Simiyu katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Sita, katika utekelezaji wa miradi ya umeme, barabara, maji, elimu na afya...
0 Reactions
0 Replies
65 Views
Kuwa na mali si hoja issue ni mali amezipataje? Kuwa na mahusiano na wafanyabisashara si hoja, issue ni wafanyabiashara wa namna gani. Hii ni critical moment tunapigania uhai na uhuru wa Lisu...
1 Reactions
4 Replies
80 Views
Hamjambo Wote! Mimi Niko fresh Kabisa, nashukuru Mungu anasaidia. Kwenye Mada. Nilikuwa nafuatilia kwa ukaribu Kabisa Sababu ya upole au tuite Ulofa kama alivyosemaga Hayyati Benjamin Mkapa...
51 Reactions
148 Replies
6K Views
  • Featured
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imemwachia huru Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedek Kaijage, baada ya Serikali kueleza kuwa haina nia ya kuendelea na mashtaka yaliyokuwa...
20 Reactions
86 Replies
2K Views
Ndio tujiulize! Sasa hivi wao wanapuyanga tena mahakamani kwa kutoa taarifa za mtu za siri bila kuiomba mahakama kufanya hivyo? Jee itakuwaje kwa Hao waliotoa hizo taarifa? Hizi njia za mkato bila...
2 Reactions
1 Replies
40 Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi akiongoza kikao cha Maandalizi cha Viongozi na Wataalamu mbalimbali kutoka Tanzania, wanaoshiriki Jukwaa la Kisayansi la...
0 Reactions
0 Replies
249 Views
Nimesikiliza hii video hadi nikatamani kulia, humu ndani ameeleza pia project Yao ya kutaka kumiliki dhahabu za maeneo yetu kama ufaransa anavyo fanya kwa yaliyo kuwa makoloni yake.
24 Reactions
102 Replies
2K Views
Hawa wataendelea kuwavuruga wameumaliza mwendo Mbowe na Lema wafukuzwe haraka sana kabla hawajafanya mapinduzi ya chama fukuzeni
0 Reactions
2 Replies
77 Views
Ndiyo, kuna wakati harakati hazipaswi kutumika kuendesha vyama vya siasa, hasa pale chama kinapotaka kujenga taasisi imara, endelevu na inayofuata misingi ya kidemokrasia. Ingawa harakati ni...
1 Reactions
7 Replies
65 Views
Mgogoro dhidi ya Fr Nkwera ulianza mara tu Pengo alipokuwa Askofu Mkuu (1992) 1.Matatizo yalianza baada ya Polycarp Pengo kutawazwa kuwa Askofu Mkuu wa Dar es Salaam. Alimuita “padre mtoro” na...
7 Reactions
54 Replies
1K Views
Back
Top Bottom