Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimesikiliza hii video hadi nikatamani kulia, humu ndani ameeleza pia project Yao ya kutaka kumiliki dhahabu za maeneo yetu kama ufaransa anavyo fanya kwa yaliyo kuwa makoloni yake.
24 Reactions
102 Replies
2K Views
Hawa wataendelea kuwavuruga wameumaliza mwendo Mbowe na Lema wafukuzwe haraka sana kabla hawajafanya mapinduzi ya chama fukuzeni
0 Reactions
2 Replies
77 Views
Ndiyo, kuna wakati harakati hazipaswi kutumika kuendesha vyama vya siasa, hasa pale chama kinapotaka kujenga taasisi imara, endelevu na inayofuata misingi ya kidemokrasia. Ingawa harakati ni...
1 Reactions
7 Replies
65 Views
Mgogoro dhidi ya Fr Nkwera ulianza mara tu Pengo alipokuwa Askofu Mkuu (1992) 1.Matatizo yalianza baada ya Polycarp Pengo kutawazwa kuwa Askofu Mkuu wa Dar es Salaam. Alimuita “padre mtoro” na...
7 Reactions
54 Replies
1K Views
Nimesoma Utetezi wa Tundu Lissu yeye ni wakili nguli pia ila naona ameshaziona dalili zote hii kesi ananyoa Bila kuathiri proceeding ya kesi ameburuzwa sana na akapoteana na binafsi nimesoma...
5 Reactions
38 Replies
789 Views
Nilimsikia Waziri mkuu mwigulu nchemba akisema watumishi wa umma wajibane na kupunguza matumizi kwakua tunajiandaa kupokea zaidi ya wanafunzi milioni 3 mwakani kidato Cha kwanza. Sasa najiuliza...
3 Reactions
28 Replies
522 Views
Ukiangalia Tanzania kwa jicho la kawaida tu, kuna mambo mengi yanayoendelea na ni vigumu kuyapuuza. Miundombinu inaendelea kujengwa, huduma mbalimbali zinaendelea kuboreshwa, miradi mikubwa ya...
1 Reactions
27 Replies
316 Views
👉John Wegesa Heche na ndugu yake Emmanuel Chacha Heche walikwenda matibabu India kwa gharama za watu mnaowaaminisha ni wabaya. Mtu akiwa mbaya angewamalizia Heche na ndugu yake India wakati wa...
2 Reactions
9 Replies
197 Views
Mfanyabiashara Nilesh amefafanua kuwa fedha alizompatia mwanasiasa John Heche hazikuwa na uhusiano wowote na shughuli za kisiasa au chama cha CHADEMA, bali zilikuwa sehemu ya mahusiano yao ya...
20 Reactions
71 Replies
2K Views
Kwa maoni na mtazamo wako, unadhani vita hivi baridi vya maneno kisiasa, baina ya mafahali hawa wawili wa kitaifa ndani ya chadema, Je, inakwenda kukigawanya na kukisambaratisha chama au inakwenda...
3 Reactions
46 Replies
323 Views
Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu, Balozi Ombeni Sefue, amewataka wananchi, hasa vijana, kuacha kuiga kiholela mifumo ya maandamano ya nchi za nje ambayo mara nyingi husababisha uharibifu wa mali...
3 Reactions
80 Replies
1K Views
Ilianzia kwa Job Ndugai ambapo baada ya kulamishwa kujiuzulu aliishi maisha ya hofu. Kifo chake mpaka leo hii kinatia mashaka. Alihoji suala la msingi kabisa deni la taifa kupaa juu kama Aviator...
0 Reactions
2 Replies
37 Views
Ya wengine yalianza hivi hivi.......Soka, Mdude, Polepole and many many others! Nowhere to be found until this second of an hour! Muda utaongea.
7 Reactions
36 Replies
564 Views
Huu ni muendelezo wa kesi inayomuhusu Mwenyekiti wa chadema dhidi ya haki za mawakili kutpewa vikwazo na mamlaka za magereza kukutana na wateja wao ikiwemo haki ya faragha na kutosikilizwa kwa...
29 Reactions
129 Replies
5K Views
MKUU WA MKOA SIMIYU ATOA TAARIFA YA ZIARA YA WAZIRI MKUU MKOANI HUMO Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Said M. Mtanda, amezungumza na waandishi wa habari kuhusu ziara ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya...
0 Reactions
6 Replies
141 Views
  • Featured
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mange ameandika.... "Hi guys nimetumiwa hii ni mtu ana insist ni ndugu yake na Polepole. I don’t know what to think, Mimi nilidhani Polepole hayuko TZ. I’m...
22 Reactions
391 Replies
19K Views
Kama Mahakama imeruhusu bank statement kuonyweshwa mahakamani, namshauri Lissu aombe bank statement ya kigogo mmoja ionyeshwe hadharani atapokuwa anamuhoji mahakamani ili athibitishe yale...
0 Reactions
0 Replies
60 Views
Hii ni picha mbaya sana taifa na binadamu kwa ujumla. Kwamba watu wanapiga ndulu kwa furaha tele kwa kuwa mume wa rais wao kafariki. Tunapata picha gani hapa? Watu wanalipa kisasi? Wana chuki...
4 Reactions
29 Replies
559 Views
Ukiwa Rais wa Tanzania hasa kama umetokea Zanzibar..kuna changamoto kubwa mno ya kuyajua makundi ya fitina ya watanganyika na namna ya kupambana na fitna zao.. Rais Mwinyi alikuwa 'victim'...
66 Reactions
227 Replies
20K Views
Wanabodi, Dr. John Pombe Joseph Magufuli ndiye mshindi wa urais Tanzania kwa mwaka huu wa 2015-2025 and may be more!, anayesubiri tuu kutangazwa rasmi na kuapishwa. Nimesema 2015 -2025 sio kwa...
37 Reactions
296 Replies
39K Views
Back
Top Bottom