Bila Chadema ni maigizo tu na bila katiba hakuna Dira!

Bila Chadema ni maigizo tu na bila katiba hakuna Dira!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,677
Reaction score
15,251
Bila Chadema chama kikuu kwa mbali sana Tanzania hakuna maridhiano yeyote ya ukweli
ni maigizo tu ya kujidanganya na kulaghai watanzania.
Bila katiba hakuna Dira! yeyote inaweza kufanikiwa kwa katiba ya sasa ambayo haina uwajibikaji wowote pale ambapo sheria haifuatwi na watawala. Katiba inatakiwa iwe na vifungu vya uwajibikaji pale ambapo sheria inafuatwa, unyanyasaji usio na sababu na hizi kesi za kubambika zitolewe maelekezo na kukomeshwa. Bila hivyo hakuna Dira itafanikiwa
 
CHADEMA ni sawa na maji.. Huwezi kuyakwepa
Usipoyanywa utayaogea
Usipoyaogea utayafulia
 
Back
Top Bottom