Nashauri Mzee Mwinyi apewe nafasi kuzungumza kwenye vyombo vya habari

the supporter

JF-Expert Member
Aug 18, 2013
761
920
Wakuu natumai mmeshinda salama, najuwa wengi mko busy na mchakato mzima wa VP na mstakabali wa Taifa letu. Ila ni pendekezo tu kwanini vyombo vya habari kama TBC kwa kipindi hichi cha Maombolezo wasimkaribishe Mzee Mwinyi atuambie mawili matatu wampe hata masaa 3 na amini ana mengi ya kutuambia.

Hili wazo limekuja baada ya kuona kwenye msiba walimkatisha apewe mda wake atupigie story kidogo.
 
Naafiki, ukizingatia kwamba siku ya mazishi ya Magufuli alikuwa anakatishwakatishwa na wasaidizi wake
 
Mzee alileta faraja msibani Kwa kweli.Anastahili pongezi. Kwa upande wangu Mkwere alizingua.
Niliskia wengi wakiponda kuwa kikwete kazingua ikanibid niitafute ile hotuba yake.Mbona jamaa aliongea vizur sanaaa.Lugha adhim kabisa ..maneno ya kistaarabu sana.Sikuona alipozingua
 
Mzee alileta faraja msibani Kwa kweli.Anastahili pongezi. Kwa upande wangu Mkwere alizingua.

MKWERE ALIKUWA ANAPANGA JINSI YA KUPALILIA MASLAHI YAKE. NIMEAMINI USEMI WA MZEE MANGULLA ALIPOTUHAKIKISHIA KUWA ATATUVUSHA SALAMA!!! MPANGO HANA MAKUNDI NA HIYO NDIO SALAM YETU! INAWEZEKANA KULIKUWA NA MAJINA YA MFUKONI YALIYOTUPWA KWENYE DUST BIN!!!!!
 
mzee unampa kazi ambayo unajua fika kuna mambo mengi kumbukumbu zinaruka na wewe unataka akupigie stori
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom