Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,484
- 34,223
Na declare interest, Mimi binafsi namkubali Sana January, Sana Sana.
Ila naanza kupata mashaka kuwa pengine Kuna namba, nguvu kubwa inatumika. Ni kiongozi mzuri, ila mbona Kama nguvu inakuwa nyingi sana.
Amekuwa waziri kwa muda mrefu, ana mazuri yake sawa.
Nimeshangazwa hata yule dada wa US nae anampigia chapuo na sio Mara ya kwanza, kwa nini anapigiwa Sana promo?
Hapa hakuna walakini? Yote kwa yote namkubali Sana na natamani siku moja aje kuwa namba 1, Ila hizi promo afanye namna aepukane nazo.