Nikikumbuka Mambo haya yaliyofanyika miaka mitano iliyopita nakua nasikitika Sana,naomba yasijirudie Tena.

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
9,043
32,691
Wagombe wa ubunge wa upinzani nchi Zima kushindwa uchaguzi,

Wagombe wa upinzani kutekwa wakirudisha fomu kwa wasimamizi wa uchaguzi,

Wagombe wa upinzani peke yao kukosea kujaza fomu za uchaguzi tu,

Wasimamaizi au maofisa wa uchaguzi kutokuwepo ofisini pale tu wagombe wa upinzani walipokua wakirudisha fomu,

Wakurugenzi kuogopa kuwatangaza washindi wagombe wa upinzani kwa sababu walionywa kuwa wamepewa magari na fedha wakitangaza mpinzani kashinda watakiona Cha moto, Ni kweli wengi walishinda lakini hawakutangazwa,

Mawakala wa wagombea wa wapinzani kufukuzwa ndani ya vyumba vya kupigia na kuhesabia kura,

Wasichana wanafunzi walipigwa mimba kwa kutongozwa na wanaume lakini wanaume hao waliendelea na masomo au kazi zao lakini wasichana hao kutokuruhusiwa kuendeleza na masomo,

Agizo kwamba wabunge wa upinzani wakorofi wafukuzwe bungeni wakija uraiani nako watashughulikiwa,

Kauli Kama "maendeleo hayana vyama,ikipingana na msinichanganyie berti na magunzi,msinichagulie wapinzani sitawaletea maendeleo",

Kauli Kama msiwabomolee watu wa kwetu kwani hawa ndio walionichagua,

Nikikumbuka mashamba ya mboga ya Freeman yalivyovurugwa,

Nikikumbuka club yetu pendwa Bilicanas ilivyosambaratishwa,

Nikikumbuka watu wasiojulikana walivyowapoteza baadhi ya Watanzania wenzetu, walivyoiteka nchi yenye polisi mahili kabisa EA,Jeshi madhubuti kabisa Afrika,Maspy Bora kabisa duniani,

Watu walipoteza,waliteswa na kuuwawa lakini hakuna watekaji ama wauaji waliokamatwa,

Watu waliwekwa mahabusu miezi zaidi ya sita kinyume Cha sheria,

Kuna watu walipigwa faini kubwa ambayo hawangeweza kulipa ilibidi wananchi wenye mapenzi mema wawachangie,

Nikikumbuka Maxence Melo aliambiwa awataje kwa majina wakazi wa Jamiiforums,

Nikikumbuka wafanyakazi wakimaliza miaka mitano bila increment,promotion Wala ongezeko la mishahara,

Wakulima wa korosho walivyokutana na wanunuzi wa korosho ambao hawakuwazoea,maana walikuja na maroli na nguo za mabakamabaka,

Wafanyabiashara walipekuliwa akauti zao na Kodi nyingi walibambikiwa waliokufa na wengine walisepa,

Nawakumbuka wafanyabiashara wa bureau de change,

Wanafunzi wa vyuo vikuu walijikuta wanabaguliwa kupata Loan board tofauti na hapo kabla,

Wanafunzi wa vyuo waliopata ajira walijikuta wanalipa loan board zao kwa riba kubwa kinyime na mikataba ya awali,

Wakazi wa Kagera hawata sahau tetemeko la ardhi lilivyowatesa na baadae masimango yakafuata badala ya kufarijiwa,

Nikikumbuka Profesa mahili kabisa Mussa Assad CAG aligundua 1.5 trillion hazijulikani ziko wapi,akaja kuulizwa hadharani kabisa kwenye sherehe Fulani hivi,Tena mbele ya makamera na wahudhuriaji"eti CAG 1.5trillion ZIMEPOTEA?
CAG akajibu hazijapotea!,

Nikikumbuka kauli Kama NYINYI WATU WA KUSINI ATAKAE ANDAMANA KUDAI MAMBO YA KOROSHO NITAWAPIGA HADI SHANGAZI ZENU,

Nikikumbuka siku ile yule mbunge aliepigwa risasi nyingi Hadi mwili ukatoboka matundu mengi Kama chujio la Nazi,halafu hamna hata mmtu mmoja aliekamatwa Hadi leo,

Nikikumbuka wazee waheshimiwa Sana Wastaafu walijaribu kushauri Mambo Fulani kwa njia kukosoa,majibu waliyapata walikua wapole wote watatu kwa pamoja kwa Mara moja"NYNYI WAZEE WASTAAFU ACHENI KUWASHWAWASHWA"

Nikikumbuka kauli ngumu Kama hizi,"WALE WALIOISHI KAMA WAKO PEPONI KWANGU MIMI WATAISHI KAMA MASHETANI"
"MATAJIRI WALIOKUA WANACHEKEWA KWANGU MIMI WATASHUGHULIKIWA"

Aisee Mambo Ni mengi yaliyotokea miaka mitano iliuopita,nikikumbuka ntakuongezea.
 
Wagombe wa ubunge wa upinzani nchi Zima kushindwa uchaguzi,

Wagombe wa upinzani kutekwa wakirudisha fomu kwa wasimamizi wa uchaguzi,

Wagombe wa upinzani peke yao kukosea kujaza fomu za uchaguzi tu,

Wasimamaizi au maofisa wa uchaguzi kutokuwepo ofisini pale tu wagombe wa upinzani walipokua wakirudisha fomu,

Wakurugenzi kuogopa kuwatangaza washindi wagombe wa upinzani kwa sababu walionywa kuwa wamepewa magari na fedha wakitangaza mpinzani kashinda watakiona Cha moto, Ni kweli wengi walishinda lakini hawakutangazwa,

Mawakala wa wagombea wa wapinzani kufukuzwa ndani ya vyumba vya kupigia na kuhesabia kura,

Wasichana wanafunzi walipigwa mimba kwa kutongozwa na wanaume kutokuruhusiwa kuendeleza na masomo,

Agizo kwamba wabunge wa upinzani wakorofi wafukuzwe bungeni wakija uraiani nako watashughulikiwa,

Kauli Kama "maendeleo hayana vyama,ikipingana na msinichanganyie berti na magunzi,msinichagulie wapinzani sitawaletea maendeleo",

Kauli Kama msiwabomolee watu wa kwetu kwani hawa ndio walionichagua,

Nikikumbuka mashamba ya mboga ya Freeman yalivyovurugwa,

Nikikumbuka club yetu pendwa Bilicanas ilivyosambaratishwa,

Nikikumbuka watu wasiojulikana walivyowapoteza baadhi ya Watanzania wenzetu, walivyoiteka nchi yenye polisi mahili kabisa EA,Jeshi madhubuti kabisa Afrika,Maspy Bora kabisa duniani,

Watu walipoteza,waliteswa na kuuwawa lakini hakuna watekaji ama wauaji waliokamatwa,

Watu waliwekwa mahabusu miezi zaidi ya sita kinyume Cha sheria,

Kuna watu walipigwa faini kubwa ambayo hawangeweza kulipa ilibidi wananchi wenye mapenzi mema wawachangie,

Nikikumbuka Maxence Melo aliambiwa awataje kwa majina wakazi wa Jamiiforums,

Nikikumbuka wafanyakazi wakimaliza miaka mitano bila increment,promotion Wala ongezeko la mishahara,

Wakulima wa korosho walivyokua a na wanunuzi wa korosho ambao hawakuwazoea,maana walikuja na maroli na nguo za mabakamabaka,

Wafanyabiashara walipekuliwa akauti zao na Kodi nyingi wengi walisepa,

Nawakumbuka wafanyabiashara wa bureau de change,

Wanafunzi wa vyuo vikuu walijikuta wanabaguliwa kupata Loan board tofauti na hapo kabla,

Wanafunzi wa vyuo waliopata ajiea walijikuta wanalipa loan board zao kwa riba kubwa kinyime na mikataba ya awali,

Wakazi wa Kagera hawata sahau tetemeko la ardhi lilivyowatesa na baadae masimango yakafuata badala ya kufarijiwa,

Aisee Mambo Ni mengi yaliyotokea miaka mitano iliuopita,nikikumbuka ntakuongezea.
Lisikutishe hilo mkuu, Mungu ni mwema.
Watu wanavuna walichopanda.
 
Mungu amejua kuwafuta machozi Watanzania,hakika Mungu fundi kweli kweli
 
Kutoka moyoni jamaa alikuwa "cicindja" kabisa na aliogopeka kama ukoma. Hapakuwa na mtu wa kumzuia ndani na nje ya chama, hata wale waliokuwa wanamchunga walipata wakati mgumu sana haijawahi tokea toka kuumbwa kwa taifa hili. Ameumiza wengi sana ila hakuna aliyethubutu kusema.
Hawa akina kina Kigwangala, mwigulu, & co siyo kwamba wanamsaliti kusema ukweli leo bali wanajiona tu wako salama kutamka ukweli tofauti na kipindi kile mizoga ingeokotwa baharini bila kuchelewa.
 
Dr Nchemba, waziri mpya wa fedha nenda kachape kazi kweli kweli watanzania walio wengi wanakutegemea na wanajua makusanyo yatapanda kutoka Trillion 1.3 ya sasa hadi Trillion 2 kwa mwezi, hii itatuhakikishia sisi watanzania miradi yetu mikubwa ya kimkakati kuendelezwa na kumalizwa kabisa.

Watanzania tunataka SGR , BWAWA LA NYERERE, UMEME KILA KIJIJI, HUDUMA ZA AFYA KUBORESHWA, BARABARA ZA LAMI KILA KONA, tusipoona haya hatutakuelewa.

Dr Nchemba usiende kuingia kwenye mtego wa wafanyabiashara wakwepa kodi wanaotaka uwafutie kodi zote alafu hizo kodi uwarundikie watanzania masikini mama ntilie na machinga kama ilivyokuwa zamani unakuta mfugaji au mkulima analipa kodi 10 ili amfikishe Ng'ombe wake mnadani, hatutarajii hili kutokea.
Dr Nchemba umejionea mwenyewe ulivyotukanwa na kuchambwa sana baada ya uteuzi wako na wakwepa kodi ( Chadema) wasiolitakia mema taifa hili kwao hata miradi yote ikikwama ni sawa tu, kwa hiyo hao siyo wenzako, hata siku moja usije kusikiliza ushauri wao. Hao ni nyoka kwa taifa hili.

Dr Nchemba kwa miaka mitano iliyopita hatujaona waziri wetu wa fedha akizunguka kuombaomba Ulaya ,kwa hiyo hatutarajii kukuona kila siku upo uwanja wa ndege unaenda kutembeza bakuri.

Dr Nchemba kwa miaka mitano iliyopita tumeambiwa Tanzania ni tajiri na watanzania tunaweza , hatutarajii waziri wetu mpya uanze kuimba Tanzania ni masikini na hatujiwezi kwa lolote ,ukifanya hivyo watanzania hatutakuelewa
 
Bil
Mkuu umesahau alivyotumia mamlaka yake kuteua vichaa kabisaaa , empty set kushika ofisi za umma , wakuu wa mikoa , wilaya , mawaziri , naibu , majaji , CAG , mwanasheria mkuu wa serikali and so many .
Bila kusahau alivyoweza kununua wapinzani kwa ulaghai kwa fedha za umma kuonesha kuwa wanaunga mkono juhudi.
Wakati fedha hizo zingetosha kupunguza idadi ya shule zisizo na madarasa ama madeski ya shule ambazo watoto wanasoma wakiwa wamekaa ardhini.
 
nilianzisha mada kama hii last few days Moderator wakafuta. sijui wanaingiwa na uoga gani au wanajaribu kulinda maslahi ya nani?. acheni watu wateme nyongo kuhusu marehemu, tupo wengi ambao tulikuwa hatuvutiwi na sera zake.
 
Nina siku 21 za sherehe juu ya kifo cha iddi amini wa tanzania.baada ya hapo naenda chato kuoiga fimbo kaburi lake
 
Ni wakati sasa wakuwajua wale wote waliokuwa wanateka na hata kuwaua watanzania wenzetu,
wakilipwa kutokana na kodi za watanzania, na waliapa kuwatumikia watanzania.
Hii itakuwa funzo kubwa kwa wanao kengeuka taaluma zao na kuwatumikia wanasiasa waovu.

Kuna mwingine alisema "tusisherehekee pasaka" (bado yupo kazini)
Mwingine baada ya malalamiko ya gharama kubwa za mitandao,
Jibu lake yeye limekuwa kuongeza garama zaidi! (Bado yupo kwenye ofisi ya uma)
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom