Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,550
Asalaaam Walekum....Aleluya!
Katika siku za hivi karibuni, kumeibuka nyuzi mbalimbali katika jukwaa hili zikidai kuwa watu kadhaa....mfano....Mh. Ndugai, mbunge msukuma, Sabai n.k. wakiomba waachie ngazi ili kufanya siasa ya maridhiano.
Mimi yawezakuwa sielewi mambo yanavyoendelea katika umbwe ya siasa za nchi yetu.
Naomba kuuliza hizi siasa za maridhiani ni kati ya nani na nani?
Na kwanini wajiuzulu ndio siasa za maridhiano ziwepo?
#MbeleDaimaNyumaMwiko.