To be honest mimi niliacha kabisa kuangalia hotuba za Rais aliyepita baada ya kuona kwamba mh alikuwa anatukuna na kufokea watu km kawazaa yeye, maneno mengine ni kwenye nyimbo za mioasho lakini...
Siku chache zilizopita tulimsikia Mtendaji Mkuu wa shirika la ndege la ATCL, Ladislaus Matindi akiutangazia Umma wa watanzania kuwa shirika lake la ndege, kuanzia tarehe 9/01/2021 litaanza safari...
Kuna taarifa kuwa wakimbizi kutoka Msumbiji wanaokimbia kile kinachoitwa wanamgambo wa Alshabaab wamerudishwa walikotoka ili wasiingie nchini. Tayari umoja wa maataifa umeilaumu Tanzania kwa hatua...
Nimeielewa sana falsafa ya Rais Samia kuwataka watendaji wote kutumia akili badala ya nguvu wakati wa kutekeleza majukumu yao ya kuwatumikia wananchi.
Kwa mfano kumfukuza Tundu Lissu bungeni ni...
HOTUBA YA SAA 1 NA DAKIKA 16 YA MHE RAIS NI TIBA YA MSONGO WA MAWAZO.
Na Elius Ndabila
0768239284
Leo hotuba ya Mh Rais inaendelea kujenga matumaini mapya katika Taifa letu. Ni hotuba nzito...
Mi binafsi napenda ile sheria ya kutaka mtu anayefungua akounti youtube alipie. Au yule anayefungua blog, online tv na websites alipie. Tena kulipia pesa ndefu.
Ungependa kanuni na sheria gani...
Naona Rais anajipendelea balaa. Social distance ni yeye pekee. Wengine tunaambiwa ni kovidi frii. Siku hizi hata mic anayo ya kwake peke yake na hata Maris wa nchi nyingine hawaruhusiwi kuitumia...
{Cabinet collective responsibility, also known as collective ministerial responsibility, is a constitutional convention in Parliamentary systems that members of the cabinet must publicly support...
Yaani kama mwendo na kasi anaoondokea Rais Samia ndio huu,upinzani itabidi tukaze kamba za viatu na kama wako waliovaa mikanda waikaze,kiswaili sanifu wanasema kufunga mkaja, bora yule baba...
Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amempongeza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kwa kuwa miongoni mwa walio katika Serikali inayoongozwa na Rais Hussein Mwinyi...
Mheshimiwa Rais niulizie Traffic Dar kisa cha kila siku kukamata daladala na kuwadai hela wakati wako kwenye route sajiliwa ni nini?
Basi limesajiliwa Route husika lakini unakuta Traffic kila...
Deo Sanga ama Jah People (aliyewahi kutuhumiwa kuvuta bangi miaka ya nyuma) , leo bungeni ameomba sheria za nchi zibadilishwe ili Mwenyekiti wa CCM, Dr Magufuli awe Rais wa milele.
Rais Magufuli akiwa anaendelea na ziara yake katika mikoa ya kanda ya ziwa amzindua kiwanda cha vinywaji cha Jambo Food Product kilichojengwa mkoani Shinyanga.
Rais Magufuli: Serikali yangu...
Kwa kutumia fagio hata lingekuwa la chuma kuna watu wangekuwa salama nionavyo anatumia reki la chuma na linapapatua kikweli kweli, japo wananchi wanaitazama hii movie ya Samialism baada ya...
Pongezi hizo ni kwa mujibu wa tweet yao hii:
#Burundi: Chama cha CNDD-FDD kinatoa pongezi kwa Dkt P.I. MPANGO baada kuidhinishwa kuwa Makamu wa raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Umahiri...
Kheri ya Pasaka.
Hili sakata la Boss wa TPDC limeacha maswali mengi sana ambayo binafsi natamani Mh. Rais alitolee ufafanuzi ili kujenga imani juu ya mfumo wa mipango na maamuzi unaomsaidia...
Nimeona clip ya Naibu waziri wa Kilimo, Bashe na baadhi ya wakulima wa bustani pale Arusha, wakijieleza kwa kudeka sana, na kueleza eti kodi ni kubwa. Kodi yenyewe ni 18%. Huu ni uzembe ktk...
Serikali kupitia kwa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema kuwa kufuatia kusitishwa kwa lesini ya gazeti hilo, halitaruhusiwa kuchapishwa wala kusambazwa popote nchini au nje ya...
Tahadhima kwenu wanabodi
Naomba kutumia sikukuu hii ya Mapinduzi kumpa ushauri usiolipiwa kwa kijana Waziri wa Habari, Vijana, Michezo na Utamaduni, Innocent Lugha Bashungwa kama anataka...
KWAHILI, HERI JAMES NI SHUJAA
Kumeibuka minong'ono lukuki huku wanasiasa na wanazuoni wakitofautiana mtazamo kufuatia Kiongozi wa Vijana wa CCM Heri James kuomba radhi kwa umma akitaka...