COARTEM
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 3,598
- 3,644
{Cabinet collective responsibility, also known as collective ministerial responsibility, is a constitutional convention in Parliamentary systems that members of the cabinet must publicly support all governmental decisions made in Cabinet, even if they do not privately agree with them.}
Alikuwa msaidizi wa Hayati Magufuli kwa miaka 5. Yaliyoamuliwa na serikali ya Magufuli maana yake na yeye alihusika.
Nimefurahi anavyorekebisha mambo bila kumlaumu Boss wake wa zamani maana waliyafanya hayo kwa pamoja hata kama hakuwa anakubaliana nayo.
Collective Responsibility.