Baada ya miaka 6 ndio nimeanza kusikiliza hotuba ya Rais tena

Kimbakuli

JF-Expert Member
Jul 11, 2013
405
427
To be honest mimi niliacha kabisa kuangalia hotuba za Rais aliyepita baada ya kuona kwamba mh alikuwa anatukuna na kufokea watu km kawazaa yeye, maneno mengine ni kwenye nyimbo za mioasho lakini utayakuta kwenye hotuba yake, na jamaa alipenda mno kudharau watangulizi wake as if yeye ameleta kipya mno wakati watu ndo tumezidi kuwa masikini but hatimae kitabu chake duniani kimefungwa na mi nitamkumbuka kwa mabaya.

Awamu ya nne ulikuwa ukiniamsha usingizini nakutajia mawaziri wote na manaibu waziri ila awamu ya Magufuli nilikuwa namfahamu waziri mkata viuno na mpima samaki.

Hili ni funzo kwamba hata pale Mungu akitupa madaraka tusijipandishe sana tukasahau kwamba sisi ni binadamu wenye damu na nyama tu, muda wowote tunakufa na kuwa udongo.

TUISHI VIZURI NA WENZETU SIKU ZOTE HATA KAMA UNA MADARAKA MAKUBWA AU PESA NYINGI KUWA NA HESHIMA NA HEKIMA KWA WATU WOTE.
 
Niliacha kusikiliza siku ile aliposema live kuwa hamjui Lissu ni nani baada ya kupokonywa ubunge na Ndugai. Wakati huohuo kwenye hotuba yake alionyeshwa kabisa kufurahishwa na Lissu kunyang'anywa ubunge

Tena akiwa anapokea ndege akaagiza utekelezaji wa mradi wa maji kwaajili ya shukrani ya mbunge alipewa ubunge kwa udhalimu aliofanyiwa Lissu.
 
F
To be honest mimi niliacha kabisa kuangalia hotuba za Rais aliyepita baada ya kuona kwamba mh alikuwa anatukuna na kufokea watu km kawazaa yeye, maneno mengine ni kwenye nyimbo za mioasho lakini utayakuta kwenye hotuba yake, na jamaa alipenda mno kudharau watangulizi wake as if yeye ameleta kipya mno wakati watu ndo tumezidi kuwa masikini but hatimae kitabu chake duniani kimefungwa na mi nitamkumbuka kwa mabaya.

Awamu ya nne ulikuwa ukiniamsha usingizini nakutajia mawaziri wote na manaibu waziri ila awamu ya Magufuli nilikuwa namfahamu waziri mkata viuno na mpima samaki.

Hili ni funzo kwamba hata pale Mungu akitupa madaraka tusijipandishe sana tukasahau kwamba sisi ni binadamu wenye damu na nyama tu, muda wowote tunakufa na kuwa udongo.

TUISHI VIZURI NA WENZETU SIKU ZOTE HATA KAMA UNA MADARAKA MAKUBWA AU PESA NYINGI KUWA NA HESHIMA NA HEKIMA KWA WATU WOTE.
 
To be honest mimi niliacha kabisa kuangalia hotuba za Rais aliyepita baada ya kuona kwamba mh alikuwa anatukuna na kufokea watu km kawazaa yeye, maneno mengine ni kwenye nyimbo za mioasho lakini utayakuta kwenye hotuba yake, na jamaa alipenda mno kudharau watangulizi wake as if yeye ameleta kipya mno wakati watu ndo tumezidi kuwa masikini but hatimae kitabu chake duniani kimefungwa na mi nitamkumbuka kwa mabaya.

Awamu ya nne ulikuwa ukiniamsha usingizini nakutajia mawaziri wote na manaibu waziri ila awamu ya Magufuli nilikuwa namfahamu waziri mkata viuno na mpima samaki.

Hili ni funzo kwamba hata pale Mungu akitupa madaraka tusijipandishe sana tukasahau kwamba sisi ni binadamu wenye damu na nyama tu, muda wowote tunakufa na kuwa udongo.

TUISHI VIZURI NA WENZETU SIKU ZOTE HATA KAMA UNA MADARAKA MAKUBWA AU PESA NYINGI KUWA NA HESHIMA NA HEKIMA KWA WATU WOTE.
fact
 
Hotuba zingine inabidi usikae na wanao, pia hata sasa kipindi cha maombolezi tbc waangalie hotuba zake, maeneo ya kudhalilisha wasiweke, naona tbc hawajali kitu watu vinakera!
 
To be honest mimi niliacha kabisa kuangalia hotuba za Rais aliyepita baada ya kuona kwamba mh alikuwa anatukuna na kufokea watu km kawazaa yeye, maneno mengine ni kwenye nyimbo za mioasho lakini utayakuta kwenye hotuba yake, na jamaa alipenda mno kudharau watangulizi wake as if yeye ameleta kipya mno wakati watu ndo tumezidi kuwa masikini but hatimae kitabu chake duniani kimefungwa na mi nitamkumbuka kwa mabaya.

Awamu ya nne ulikuwa ukiniamsha usingizini nakutajia mawaziri wote na manaibu waziri ila awamu ya Magufuli nilikuwa namfahamu waziri mkata viuno na mpima samaki.

Hili ni funzo kwamba hata pale Mungu akitupa madaraka tusijipandishe sana tukasahau kwamba sisi ni binadamu wenye damu na nyama tu, muda wowote tunakufa na kuwa udongo.

TUISHI VIZURI NA WENZETU SIKU ZOTE HATA KAMA UNA MADARAKA MAKUBWA AU PESA NYINGI KUWA NA HESHIMA NA HEKIMA KWA WATU WOTE.
Hapo tu eti, "utazani kawazaa yeye"
 
Mimi nilidhani niko peke yangu. To be honest,hotuba chache za jiwe nilizosikiliza ziliniletea stress sana,mpaka nikaamua kuwa sitaangalia taarifa ya habari tena. Kumbe tuko wengi.Ilibidi ninunue Dstv nikawa mpenzi wa mieleka wwe.Wakati jiwe akiwa hewani Mimi natune wwe .
 
Back
Top Bottom