Makundi hatari kwa maana ya nguvu ya kisiasa na uwezekano mkubwa wa kugeuza nchi kuonekana ni ya hovyo kabisa ni haya
1. Wamachinga wasio sehem rasmi
Sasa hivi ukienda Mwanza kwenye Kipleft cha...
Dkt. Hussein Mwinyi akiagana na viongozi wa Serikali wakati akielekea nchini Msumbiji kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za SADC, kumuwakilisha Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
Hii ni...
Kumekuwa na watu wanao pinga ununuzi wa ndege kwa factor nying mno na wapo pia wanao unga mkono lwa factor nyingi mno.
Wote kila mmoja ana point kwa kulingana na anavyo waza.
Ila jambo moja kuu...
Kumekuwa na habari nyingi za waganga njaa na wanufaika wa utawala wa mwendazake kwamba eti anachafuliwa Ili kufuta legacy yake.
Binafsi nimekuwa mfuatiliaji wa Ripoti za CAG yangu mwendazake...
Mwalimu Nyerere aliwahi kunukuliwa miaka kadhaa iliyopita akitamka kwamba " CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI " hapa alimaanisha kwamba Uhai wa Chama chochote cha siasa unategemea na...
Salaam Wakuu.
Kama mnakumbuka mwezi March 2017 CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kiliwafukuza wanachama wake 12, akiwamo Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake (UWT), Sophia Simba.
Sophia alilazimika kupoteza...
Namsifia Rais Samia Suluhu Hassan kwa kunteua Balozi Libarata Mulamula si kwasababu ni mwanamke la hasha , namsifia kwasababu ya kutambua umuhimu wa uzoefu katika kutenda kazi.
Huko nyuma hili...
Spika wa Bunge la JMT, Job Ndugai ameungana na kauli ya Rais Magufuli kuhusu ubovu wa masharti yaliyomo kwenye mapendekezo ya mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo.
Itakumbukwa kuwa, Spika...
Bila Shaka watanzania wenzangu tukakubaliana kwamba, Prof. Ndalichako na Mpango wanatumika kuiangusha hii serikali. Wamepwaya kupitiliza.
Wamewafanya wananchi masikini Kwa mawaziri kuichukia...
MSANII mahiri na nyota kabisa kuliko wote nchini ametoa wimbo mpya. Katika suala la nyimbo mpya, hakuna sehemu huyu amewahi kushindwa, kwa sababu hata kama hautaki kuukubali muziki wake...
Aprili 8, Spika wa Bunge Job Ndugai alisema Hayati Rais Magufuli alishauriwa vibaya kuukataa mradi wa bandari ya Bagamoyo ambayo ingekuwa kubwa kuliko zote Afrika Mashariki na kukuza uchumi...
Ni kama vile hakuna jambo lolote la kuhuzunisha na kusitikitisha lililotokea wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, mpaka sasa hakuna kilichofanyika kwa wafiwa si kwa serikali...
MTAWALA AZIBAYE MIDOMO WATU NI MBAYA KAMA SHETANI
Kwa Mkono wa Robert Heriel.
Mtu yeyote anayependa kuziba watu midomo wasimseme jua huyo ni kama shetani, hivyo ndivyo andiko hili ninavyoanza...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameendelea kuwashangaza na kuwapa matumiani Watanzania kwa namna alivyoanza utendaji wake wa kazi, taratibu na kwa uhakika...
UTEUZI BAKWATA
Masheikh wa mikoa, Makadhi, Makatibu wa makadhi na makatibu mabaraza ya masheikh wa mikoa wateuliwa
Akiongea na waandishi wa habari leo, Msemaji wa samaha Mufti sheikh Khamisi...
WanaJF, salaam!
Mgogoro wa kiutendaji unaoendelea kwenye mitandao ya kijamii na magazetini umetengenezwa - waliotengeneza wametumia turufu fake na visingizio vya taarifa ya Mkaguzi na Mdhibiti wa...
Mbunge wa Vunjo mh Kimei ameitaka Serikali kukopa fedha nje ili iweze kukamilishz miradi ya kimkakati ya SGR na Bwawa la umeme.
Kimei amesema ni lazima miradi mikubwa ikamilike kwa wakati hivyo...
Hizi ajira milioni kumi na mbili zilitolewa nchi gani? sijamwelewa waziri wa fedha na hii ndyo ropiti mpango aliiandaa kabla hajaapishwa kuwa makamu? Aliyeelewa anisaidie.
Waziri wa fedha, Dkt...
Kiukweli mimi ni muumini wa falsafa ya CCM mpya ndio maana napata shida kidogo kuielewa hii combination.
Wengi mtaniuliza kwani Lowassa na Rostam ni viongozi ndani ya chama?..... Hapana siyo...