Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kila mmoja anaona kinachoendelea kuhusiana na ripoti ya CAG na matamko ya mwenye nchi yake lakini si kila mmoja analiona jambo hili katika angle tofauti, Taifa hili tokea lilipokabidhiwa mikononi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna siku niliwahi kuwaambia kuwa tujifunze kukaa kimya, sasa waliozusha habari za kutekwa Prof Assad sijui wataficha wapi sura zao, kwenye video hii anasimulia alipo kuwa.
17 Reactions
207 Replies
29K Views
Hatutaki Kujifunza, Sri Lanka Waliota Kama Sisi, Yakawafika.. Ndugu zangu, Pichani askari wa Sri Lanka waliokuwa wakipambana na waandamanaji walioingia mitaani kupinga mji wa bandari yao...
12 Reactions
57 Replies
6K Views
Rais A Mkali Mbishi Mnafiki Mkusanyaji mzuri wa Kodi Mwizi Mbinafsi Malaya ( Muhuni ) Rais B Mpole Mkarimu Muungwana Ana uwezo mdogo wa Akili Mwizi wa taratibu Anainua Vipato vya Wananchi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Tutegemee kuona haya yafuatayo...... 01: Misamaha Ya kodi kwa Walipaji wakubwa ili Wanyonge waanze Kusumbuliwa. 02: Kushuka kwa makusanyo Ya kodi na kukwama kwa...
13 Reactions
62 Replies
4K Views
Leo ni siku ya pili nafuatilia Mikutano ya bunge,na nimeshuhudia wabunge wa cdm, hasa wale viti maalum ambao kimsingi wana Kesi na chama chao. Je, Mh JJ Mnyika haoni haja ya kusimamia hili kwa...
1 Reactions
1 Replies
892 Views
Hizi ni sababu: 1. Serikali ikifanya jambo jema kwa watu litakuumiza na kutuchoma sana, kupata nafuu ni mpaka tutafute kukosoa 2.Muda wote hauna FURAHA, unakuwa watu wa MATUSI, MALALAMIKO...
36 Reactions
119 Replies
7K Views
Hofu hii kwa kiongozi wa Kudumu wa ACT sio ya kawaida na kilio chake kina kelele ya uchungu mkubwa. Tusubiri makubwa zaidi? Zitto hofu yako kwa Charles Kichere ni nini haswa?
3 Reactions
95 Replies
9K Views
Moja kwa moja kwenye mada husika wadau wa Jf. Huko nyuma ilikiwa ni aibu maana watu walikuwa hawafanyi ufisadi bali ni kujichotea na kujijazia. Fikiria skendo la Escrow watu walichota bil of Tsh...
1 Reactions
61 Replies
5K Views
Kwa siku hizi chache tangu Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ashike madaraka rasmi tumeanza kushuhudia mengi Kuna baadhi wanasema watanzania hatupaswi kuweka...
24 Reactions
55 Replies
5K Views
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema kuwa deni la Taifa linaongezeka kila mwaka ambapo kwa mwaka wa fedha ulioishia Juni 30, 2020 deni limeongezeka kwa...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Ikumbuke kwamba mambo mengi yanayopitishwa na bunge au kwa lugha raisi "kikundi laghai cha CCM" yanapita kwa njia moja kuu. Njia hii ni kuwahonga mabilioni ya pesa wabunge, individually yaani...
1 Reactions
5 Replies
933 Views
Ndugu zangu, Leo katika habari ya saa mbili usiku Katibu Mkuu wa SADC Dr.Stegomena Tax amekana kufanyika kwa kikao chochote cha SADC bila uwepo wawenyekiti wake Dr.Magufuli. Naam
6 Reactions
76 Replies
8K Views
CAG Kichere amesema Mkurugenzi wa Mashtaka nchini amekusanya zaidi ya sh bilioni 60 kutokana na kesi mbalimbali na fedha hizo hazijatumika kutokana na kukosekana kwa sheria na mwongozo wa namna ya...
9 Reactions
56 Replies
6K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), chama cha siasa ambacho kimeshikilia rekodi ya dunia ya kushambuliwa na serikali, kimeonekana na CAG kuwa chama kinachozingatia weledi katika matumizi...
10 Reactions
32 Replies
4K Views
MUNGU AMEMPA KURA LISU, JE WEWE UTAMPA NANI? Na, Robert Heriel Hata Mungu hufanya uchaguzi, Hata Mungu hupiga kura. Sio mwanadamu peke yake apigaye kura, hata Mungu Muumba wa Mbingu na ardhi...
22 Reactions
31 Replies
3K Views
Nimejiuliza sana hawa watu au hili kundi linatakaje au lilitaka iweje? Maana kama ni kusema madhaifu aliyoyakuta ni sawa kabisa maana hata mtangulizi wake aliwananga sana marais waliopita maana...
56 Reactions
91 Replies
8K Views
TATIZO: "Unstable Political Grounds of the Nation" TATIZO ZAIDI: "Poverty Among Politicians is the Root Cause of Unstable Political Ground of the Nation" ZAIDI YA TATIZO: "POVERTY IS A RESULTS...
1 Reactions
2 Replies
779 Views
By Daniel Mjema Mwanchi 10/04/2021 Kwanza nawasalimu kwa salaam ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Tende kwenye hoja, Kwa miaka mitano na ushee, tumeshuhudia kuibuka kwa kundi ambalo nasema...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…