Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,172
Hizi ni sababu:
1. Serikali ikifanya jambo jema kwa watu litakuumiza na kutuchoma sana, kupata nafuu ni mpaka tutafute kukosoa
2.Muda wote hauna FURAHA, unakuwa watu wa MATUSI, MALALAMIKO, LAWAMA, Kila siku mpaka unaingia KABURINI
3.Unakuwa na UJASIRI wa kumtukana au hata kumkataa mzazi wako kwa sababu za siasa
4. Unaweza kumchangia mwanasiasa fedha, kumpigia kura, kumlindia kura na hata kupigwa ukimsaidia lakini hatakusaidia zaidi ya kusomesha watoto na FAMILIA yake DUBAI
5. Unatumia maisha yako yote kama mzigo kwa familia yako kwa sababu ukishamaliza kutukana mitandaoni unategea msosi kwa wazazi
- Inshort, MTAJI wa mwanasiasa yoyote ni MATATIZO ( SHIDA ) za watu na kawa ulivyo mtaji zikitatuliwa wanakasirika sana, na kama TATIZO lilikuwa ni barabara ikijengwa basi watasema iko chini ya kiwango ili mradi MTAJI wao uendelee kuwepo.