MTAWALA AZIBAYE MIDOMO WATU NI MBAYA KAMA SHETANI
Kwa Mkono wa Robert Heriel.
Mtu yeyote anayependa kuziba watu midomo wasimseme jua huyo ni kama shetani, hivyo ndivyo andiko hili ninavyoanza...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameendelea kuwashangaza na kuwapa matumiani Watanzania kwa namna alivyoanza utendaji wake wa kazi, taratibu na kwa uhakika...
UTEUZI BAKWATA
Masheikh wa mikoa, Makadhi, Makatibu wa makadhi na makatibu mabaraza ya masheikh wa mikoa wateuliwa
Akiongea na waandishi wa habari leo, Msemaji wa samaha Mufti sheikh Khamisi...
WanaJF, salaam!
Mgogoro wa kiutendaji unaoendelea kwenye mitandao ya kijamii na magazetini umetengenezwa - waliotengeneza wametumia turufu fake na visingizio vya taarifa ya Mkaguzi na Mdhibiti wa...
Mbunge wa Vunjo mh Kimei ameitaka Serikali kukopa fedha nje ili iweze kukamilishz miradi ya kimkakati ya SGR na Bwawa la umeme.
Kimei amesema ni lazima miradi mikubwa ikamilike kwa wakati hivyo...
Hizi ajira milioni kumi na mbili zilitolewa nchi gani? sijamwelewa waziri wa fedha na hii ndyo ropiti mpango aliiandaa kabla hajaapishwa kuwa makamu? Aliyeelewa anisaidie.
Waziri wa fedha, Dkt...
Kiukweli mimi ni muumini wa falsafa ya CCM mpya ndio maana napata shida kidogo kuielewa hii combination.
Wengi mtaniuliza kwani Lowassa na Rostam ni viongozi ndani ya chama?..... Hapana siyo...
Salaam mama, hongera kwa kuanza kazi vizuri na pole kwa yote utakayokuwa unakumbana nayo katika siku hizi za mwanzo.
Mhe. Rais, naomba nikujuze yafuatayo:
Kuna genge flani la waliokuwa wanufaika...
Unajua dunia ya sasa inakwenda kasi sana ndio maana Tanzania japo tuna Bandari lakini wafanyabiashara wetu wanaenda kununua mzigo Uganda ambao unapita hapa hapa Dar es salaam.
Unapokuwa na...
Nafikiri hii ni glasnost yetu. Mambo mengi japo si yote ya nchi ni vema kuwa wazi. Watu wayajadili na kutoa maoni yao mbalimbali.
Mambo ya umma yanatakiwa kuwekwa wazi na kujadiliwa kwa uhuru...
Iwapo maamuzi ya kujenga mradi wa umeme wa rufiji yalifikiwa miaka ya 70 ningependa kujua ni hasara kiasi gani nchi imepata kwa kutotekeleza mradi huu.
Yaani kwa miaka takribani 50 CAG atueleze...
Habari wakuu
Leo spika wa bunge Ndugai kasema Hayati Magufuli alishauriwa vibaya kuhusu kujengwa kwa bandari ya Bagamoyo na bunge linataka kupendekeza ikiwezekana bandali ijengwe tu.
Sasa hapa...
Kwema wanachemba.
Tumeshuhudia tangu kuondoka kwa mwendazake kumekuwa na sauti nyingi sana zikipazwa kwa nguvu sana tena na wengine waliokuwa wasaidizi wake wa karibu sana kujaribu kutuaminisha...
Kutokana na ripoti ya CAG inayoonesha upigaji wa hali ya juu katika serikali ya awamu ya tano chini ya Mwendazake basi haraka sana fanyeni yafuatayo:
i/ Acheni kuandaa makala na vipindi...
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ambaye pia ni mbunge wa Mbeya Mjini ametangaza kusitisha ziara mbalimbali bungeni.
Bunge limekuwa likipokea ziara za mafunzo kwa wanafunzi na...
Nahodha katangaza rasmi kuwania Urais wa Tanzania, Chikawe pia na Lukuvi kutangaza muda wowote,
Lakini Jk anamtaka Makongoro Nyerere, Aliposema anatoka kwa majaji. Maana yake ni mume wa Jaji...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete TAYARI amesaini mswada wa sheria ya mitandao uliokuwa ukilalamikiwa kuwa unaukiukwaji mkubwa wa haki za kibinadamu. Hivi kuanzia sasa ni sheria kamili, na hivyo kila...
Niwaambie tu, hawa CCM na serikali yao, japo kwa sasa wanaonekana kugawanyika, ila ukweli ni kwamba wote ni wale wale tu (wapigaji), hivyo msitarajie jipya kutoka kwao zaidi ya maigizo ya...
Ripoti ya CAG imeonesha kuwa Clouds FM na TBC walilipwa shillingi za Kitanzania zaidi ya Milioni 800 kwa ajili ya kutangaza tamasha la Urithi, lakini malipo hayo hayana ushahidi wowote as...
Kila mmoja anaona kinachoendelea kuhusiana na ripoti ya CAG na matamko ya mwenye nchi yake lakini si kila mmoja analiona jambo hili katika angle tofauti,
Taifa hili tokea lilipokabidhiwa mikononi...